Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

Kwa tetes nilizopata ni kwamba watu waliotuma maombi ni zaidi ya elfu28…..na nikiangalia miaka ya nyuma kweny usaili wao naona watu hua hawazid 1500 kweny usaili, sasa sijui itakuaje apo
 
Wakuu naomba kuuliza hivi TAKUKURU huwa wanatoa ajira kila mwaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…