Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Bomu gani linalotegwa,binafsi Naina anategua mabomu yaliyotegwa ambayo yangeenda kuliangamiza taifa,kiuchumi na kijamii kwa kuendekeza ukanda ,ukabila na ubaguzi wa kiitikadi.Hapa DPP anaenda kutengeneza bomu ambalo litaiathiri serikali yote kwa ujumla
Kwani hujui MAMLAKA YA DPP kwamba ni pamoja na uwezo wa kufuta kesi bila kutoa sababu! Mkiambiwa Katiba Mpya na sheria njema zinahitajika mnaruka ruka kama kuku wa mdondo!Hapa DPP anaenda kutengeneza bomu ambalo litaiathiri serikali yote kwa ujumla
Naamini labda DPP hakuelewa vyema maelekezo maana anaachia Kila mtu,
Yaani mpaka matapeli maarufu.
Ingeruhusiwa mpaka 2035Hatutaki chuki ili mama atupeleke mpaka 2030
Naamini labda DPP hakuelewa vyema maelekezo maana anaachia Kila mtu,
Yaani mpaka matapeli maarufu.
Kila aliyefungwa ni chuki? Ina maana hii nchi hakuna wahalifu?Hatutaki chuki ili mama atupeleke mpaka 2030
Mbongo mpaka leo hajuwi anataka nini????
Ova