Pale Gereza la Songwe zaidi ya asilimia 60 ya mahabusu wana kesi za mauaji, Katibu Mkuu Utumishi na Katibu Mkuu wizara ya katiba na sheria walifanya ziara ya kustukiza mwezi wa 5 mwaka huu..
Katika kufanya udadisi makatibu hao wakuu wakachukua mahabusu mmoja wakamuuliza ulifanya mauaji wapi? Akawajibu simjui niliye muuwa.. Nimetoka safari katika kuzurura nitafute sehemu ya kulala nilikamatwa na askari usiku.. Wakitaka chochote.. Matokeo yake nipo humu ndani miezi minne upelelezi bado....
Sasa fikiri ni wangapi wamebambikwa kesi?