Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Ofisi yenye walinzi inaanzaje kushambuliwa kwa moto na taarifa itoke baada ya moto kuisha kabisa? Kiki zimegoma msimu, CCM imekubali kucheza fea, nanyinyi chezeni fea.
Ccm imefikia hatua ya kulia lia hivi wakati kwa miaka mitano mfululizo mmekuwa mnafanya kila mnachojisikia.

Hivi ofisi za Fatma Karume mlilipua za nini ?
 
Hiyo ni kiki mkuu. Inawezekana chadema wamechoma wenyewe ofisi zao, kutafuta huruma kwa wananchi.
Ccm ni chama kikubwa sana, hakijafikia kufanya upuuzi kama huo.
Hizi ni siasa za kipumbavu sana.
Upuuzi wa kuteka watu kimefikia?
 
MASWALI YA KUJIULIZA Ikumbukwe chama kilikuwa kinaratibu mapokez ya mgombea urais ambae huvuta hisia za wanachama wao kwa ukubwa hvyo n kawaida vikao vyao huenda had usiku wa manane pia Ikumbukwe Arusha ilikuwa ngome ya Chadema iliyochukuliwa na CCM hvyo ujio wake ilkua n kurudisha kauhai kwa chama je hao viongozi walitoka saa ngap ofisin JAMBO LA PILI ndio moto umewaka vipi ofisi ilkua haina nyaraka na kama moto ulizimwa tulitegemea kuona hata makaratasi yakizagaa huku yakiwa walau yamechomeka vp ofisi ilkua haina makaratasi JAMBO LA TATU kuna taarifa zinakinzana ambapo mpaka mapema asubuh zilikuwa zinatoka kwa wahanga huyu anasema ni moto wa petrol na mwingine anasema n bomu kwenye nchi zilizoendelea kwenye intelijensia alietendwa huwa ndo anakuwa suspected kwa kutoa taarifa na hawa wanasema source n nn au n kile hawa wanatakiwa wajumuishe kusaidia uchunguzi wa Jambo husika NIWAAMBIENI DOLA PAMOJA NA WANASIASA KUWA Tanzania ya AMANI na SALAMA tunaihitaji sana kuliko mambo yenu tujifunze kutafakari na kuamua vizuri
 
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
sasa kati ya lisu na huyo mzee wenu wa chato nani kichaa?

jitafakari
 
Arusha ni kitovu cha umafia Wa Chadema. CCM ichome Ofisi ya Chadema??
Hilo mmelitengeneza kama Yale mengine
 
Ofisi yenye walinzi inaanzaje kushambuliwa kwa moto na taarifa itoke baada ya moto kuisha kabisa? Kiki zimegoma msimu, CCM imekubali kucheza fea, nanyinyi chezeni fea.
Kama uko Arusha au vinginevyo wewe ni mmoja wa walioshiriki kwa namna moja au nyingine kuchoma moto ofisi hiyo kwani unaonekana una taarifa za ziada.
Ushauri wangu wahusika wakuhoji zaidi.
 
Matukio kama haya ndiyo yanayoiongezea Chadema na TL umaarufu!
Hivi hii mijitu itajifunza lini!
 
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
kati ya RAIS MTARAJIWA TUNDULISSU na MEKO WENU nani anayejiita KICHAA?
 
Hii habari si nzuri kabisa.
Mleta uzi, ingekuwa vizuri utuambie ni ofizi zipi, maana umesema ofisi za kanda ya kaskazini, sasa ni ofisi za nini? kutokana na maelezo ineonekana ni ofisi za CHADEMA.
HOVYOOOO!! Unauliza halafu unajibu mwenyewe shwain kweli wewe
 
Kura yako moja ndio inakupa kibri icho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…