Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ccm imefikia hatua ya kulia lia hivi wakati kwa miaka mitano mfululizo mmekuwa mnafanya kila mnachojisikia.Ofisi yenye walinzi inaanzaje kushambuliwa kwa moto na taarifa itoke baada ya moto kuisha kabisa? Kiki zimegoma msimu, CCM imekubali kucheza fea, nanyinyi chezeni fea.
Hivi ofisi za Fatma Karume mlilipua za nini ?