Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Hawa Ccm sasa wanakotaka kutupeleka sipo kabisa. Huwa ninasema siku amani ya nchi Yetu ikitoweka basi Ccm watakuwa wahusika No.1
INTERAHAMWE wanafanya yao kabla ya kuwa wakimbizi.

Si ajabu hata polisi wasiweze kufanya uchunguzi kwa sababu wahusika huwa hawakamatiki.

Watu wa idara kuingia kwenye siasa ni tatizo kubwa sana ktk nchi yetu
 
Ndo watanzania tujifunze kuwa ni lazima wagombea upraising wetu katika vyama vyote wawe watanzania kweli ambao utanzania wao hautiliwi mashaka.

Haya yote yanatokea kwa sababu ya kumpa nchi Mburundi ambaye kwake udhalimu ndo maisha yake!

Vyovyote watakavyofanya wakumbuke kuwa tunaweka rekodi ya udhalimu wao wote wanaoufanya mwaka huu kama ushahidi na ushahidi huu tunawatumia wahusika wote. Lazima arrest warrant za ICC zitatoka tu mwaka huu!!

Kikubwa CCM wakumbuke, mwaka huu hawatoki inyeshe mvua, liwake jua Lissu ndo Raisi mwaka huu!
 
mnauhakika gani kama ni wapinzani wa lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Hiyo ni kiki mkuu. Inawezekana chadema wamechoma wenyewe ofisi zao, kutafuta huruma kwa wananchi.
Ccm ni chama kikubwa sana, hakijafikia kufanya upuuzi kama huo.
Hizi ni siasa za kipumbavu sana.
 
Ni kama self created, kupata public sympathy! Hakuna waTz wanaotaka drama za kijinga...binafsi siamini CCM wanaweza kufanya haya!
#Twende_na_Rungwe
#CHAUMA_2020

Everyday is Saturday........................... 😎
Na nyie tafuteni sympathy kama unaona wivu.
 
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
Boss kwani nchi inatolewaje? Kwani watanzania wakimchagua Lissu si ndio watakuwa wameamua kumpa nchi? Sasa wewe ni nani hapa duniani useme Lissu hawezi kupewa nchi?
 
Mkuu tindo unakumbuka kwenye ule uzi wa Chadema kujenga ofisi nilikwambia kuna sababu za msingi za kutofanya hivyo kwa sasa, na moja ya sababu ni kama hizi.

Kwa watu ambao wanawafanyia physical attacks wafuasi na viongozi wa Cdm unadhani majengo yao watayafanyaje?

Imagine ndio umeweka nyaraka zako zote humo, mfano wamehifadhi fomu za wagombea kabla ya kuzirejesha.
 
Back
Top Bottom