Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Mwisho wako wa kufikiri ndio mwanzo wa watu wengine kufikiri.
Usidhani kila mtu ana akili kama zako
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
 
Yote hiyo wanatafuta media attention wameona hawatangazwi wameanza kujitengenezea matukio kutafuta media attention
Mkuu juzi niliweka ka thread kangu modes wakakafyatua, nilikuwa naongea haya haya kuwa ukimya wa CCM unamfanya kila siku achuje na haitoshangaza hata kujitengenezea jaribio la kuuliwa ili mradi tu apate attention. Hauhitaji kwenda kwa Mganga kujua kuwa CHADEMA ndio wamechoma Ofisi yao ili kupata kiki leo hapo Arusha. Kumbuka huko ndiko wanakoamini bado wanna pumzi!
 
Boss kwani nchi inatolewaje? Kwani watanzania wakimchagua Lissu si ndio watakuwa wameamua kumpa nchi? Sasa wewe ni nani hapa duniani useme Lissu hawezi kupewa nchi?
Ma ccm analog mitambo chakuvu tupa kule
 
Leo leo inapigwa harambee office kesho inaanza kujengwa chap kabla ya uchaguzi inaanza kutumika tena.
 
mnauhakika gani kama ni wapinzani wa lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Policcm walishafanya uchunguzi gani ukakamilika tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi?
 

Chadema watafutie kiki Arusha? Huko Arusha kila mtu automatically ni chadema, kuna kiki zaidi ya hiyo? Kimsingi kinachofanyika hivi sasa na ccm kuleta siasa za kujenga hofu, baada ya kuona jinsi cdm inavyokubalika. Hivyo mnatumia mbinu za karne iliyopita ya madictator wa ulaya mashariki umma ulipowakataa

Kitakachofuata hivi sasa ni wanachadema kuanza kuuwawa ili kujenga hofu kwa wafuasi wa upinzani wengine. Hilo ndio tatizo la chama kupitwa na wakati kisha kulazimisha kukaa madarakani. Kizazi hiki sio cha CCM, hivyo ni lazima mtumie mbinu za kidictator kuendelea kukaa madarakani, lakini mtaondoka madarakani kwa vyovyote.
 
mnauhakika gani kama ni wapinzani wa lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Hizo taarabu zako hazitasaidia kutuliza hasira za wenye ofisi zao mlizo zichoma
 
CCM mkileta ujinga huu tutawapima screpa kabla ya Oct 28
 
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
Huyo wa kwenu ni kopo maji.
 
Wapinzani wa cdm pumzi zimekata tayari hata kabla ya kampeini kuanza
 
Nimefurahi sana kuona ma CCM yameshindwa kuiua CHADEMA kama yalivyo kuwa yakijitapa wakidhani watanzania ni Wajinga.Sasa wamekimbilia kuua Majengo. Huu ni upimbi wa hali ya juu sana. Hapo kampeni hazijaanza wameanza kujinyea nyea hivi.

Tunawaambia hivi ninyi Mataga majengo hayapigi kura ila sisi Wananchi ndio tutamkabidhi nchi Mtanzania mwenzetu Tundu. A. Lissu. Hao ma intaramwe wenu waanze kukimbilia kwao. Hatutaki tena ushenzi na ushamba hapa nchini kwetu.
 
Nimeamini wewe ni taahira. Yaani CHADEMA ijirushie bomu iue wafuasi wake? Mabomu yanamilikiwa na majeshi. CHADEMA sio jeshi Wala polisi. Mods pigeni life ban hili jinga.
Magaidi pia humiliki mabomu waweza jificha vyama vya siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…