Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Hii habari si nzuri kabisa.
Mleta uzi, ingekuwa vizuri utuambie ni ofizi zipi, maana umesema ofisi za kanda ya kaskazini, sasa ni ofisi za nini? kutokana na maelezo ineonekana ni ofisi za CHADEMA.
Sasa hapo wewe ni wapi hukuelewa?
 
Nani sasa mburundi?

Huko Arusha kipindi cha JK kuna bomu lililipuka katika mkutano wa Chadema, kumbe sasa inaonesha nchi hii tunaongozwa na waburundi?

Hizi propaganda zenu za ki da mange da mange, haziwezi kumzuia Magufuli kuwa Rais hadi hapo 2025
 
CCM haijawahi mjengea hofu mpiga kura .ukimjengea hofu hatapiga kura .Hiyo ni kutafuta tu kick kwa kitoto kwa Chadema.Mnachofanya Ni utoto
Likiwaka ujue tutaanza na watu kama wewe
 
Afisa Uchaguzi,
Shule za sekondari zimechomwa moto Dar na kwingineko polisi wako kazini wanafanya uchunguzi na hili la ofisi za chadema ni tukio linafanana na hayo litafanyiwa uchunguzi, msiingilie kazi ya polisi
 
Haya ni machadema yenyewe mkuu, hakuna mtu atahangaika na Lisu wakati tunajua yule hapati zaidi ya 20% ya kura,
Likiwaka tutaanza na nyinyi wahamiaji haramu kutoka Burundi
 
Hilo tukio Ni la kutafuta kick tu ya media namkumbuka 2015 pia lilirushwa bomu mkutano wa Chadema Huko Huko Arusha lengo kutafuta kick na attention kwenye media

Ni Chadema tu wanatafuta kick za media attention tu
Nani hajua nyie ni WAUWAJI?

Fatuma Karume mlipiga bomu office zake upanga kwasababu ya political interest.

Wakili wa manji office zake mlivunja na kufanya uharibifu same political interest.

Same Old Game, You're Bastard!
 
Nani sasa mburundi?

Huko arusha kipindi cha jk kuna bomu lililipuka katika mkutano wa chadema, kumbe sasa inaonesha nchi hii tunaongozwa na waburundi?

Hizi propaganda zenu za ki da mange da mange, haziwezi kumzuia Magufuli kuwa rais hadi hapo 2025
Propaganda zenu hazimzuii Magufuli kuiongoza dola ya Tanzania 2020-2025 mtasubiri sana
 
CHADEMA (viongozi) kuweni waangalifu na siasa zenu za propaganda. Ni huko Arusha jana mmetangaza kutekwa na kupigwa kada wa CCM alietoa tuhuma za rushwa za mgombea. Kule Ruangwa mkadai wagombea ubunge wa Chadema na ACT wametekwa kisa wasishindane na PM. No reasonable person will support this kind of incidents and allegations which seems to win public sympathy from the voters. Fanyeni siasa achaneni vurugu kwa jamii.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni kiki mkuu. Inawezekana cdm wamechoma wenyewe ofisi zao, kutafuta huruma kwa wananchi.
Ccm ni chama kikubwa sana, hakijafikia kufanya upuuzi kama huo.
Hizi ni siasa za kipumbavu sana.
Kwanza pana ofisi hapo basi!

Lakini wajue hawawezi kutufanya watz wote wajinga kama walivyo wao chadema!

Mbona Dimond anajaza uwanja kuliko Lisu na hafanyi uhuni kama huu
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Polisi fanyene uchunguzi, wako baadhi ya wanacdm wanashangaa kwa nini Lissu tangu arudi msafara wake na wafuasi wake haujatawanywa na polisi ili wafanye fujo. Yawezekana wamekuja kwa staili hii.
Yeah! Hilo linawaumiza wanaCCM wengi sana walioamini kuwa siku ile ya mapokezi watu wangepigwa mabomu na virungu, huku wengine wakifunguliwa kesi za kukusanyika bila kibali na mengineyo mengi ya kubambikiza! Ni lazima watambue kuwa hili jeshi huwa linafanya kazi kulingana na maelekezo ya uongozi uliopo

Mwanzo aliyekuwa akiwaamrisha polisi kupiga na kukamata wapinzani ni Makonda, sasa hayupo yuko kijiweni, wamemsomesha ustaarabu! Hata upinzani utakapochukua nchi ni polisi haohao ndio watashugulika na CCM, Ole wao CCM kulewa madaraka siku zao zinahesabika!
 
Mlipochoma office za uwakili za fatuma karume na wakili wa manji mlipata faida gani?

Aliyeratibu kuchomwa yupo mtaani kapoteza hata cheo, Karma itamtafuna na nyie inzi wa kijani.
 
mnauhakika gani kama ni wapinzani wa lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi
Polisi gani? Wale ambao mwaka wa 3 huu hawajawahi kumkamata yeyote aliyehusika na tukio la shambulio la Lissu??
 
Mkuu mbona unazeeka vibaya???
 
Hizi vurugu zao za kitoto hazina maana, lazima wajue hatutishwi kwa hivi vitimbi vyao vya kitoto, jeshi la polisi liwatafute hao wahalifu na wapatikane, wafikishwe kwenye vyombo vya sheria waonekane na sheria ichukue mkondo wake.

Haya matukio ya hovyo kila siku yakiendelea kufumbiwa macho sasa yataenda kulipeleka hili taifa kwenye machafuko, hao wahuni lazima wakome kutumiwa, na wale wanaowatumia nao wakomeshwe hivyo hivyo.
 
Lowasa aliwaambia wazi 2015 kuwa Kama mkishindwa mwaka ule mkiwa na resources zote at your disposal na mwamko mkubwa wa wananchi .mkiwa na mahelikopta na ndege za kwenda kila Kona ya nchi miashindwa uchaguzi wa mwaka huu mtashindwa vibaya mno

Lisu atashika nafasi ya nne

CCM itaonyoza ikifuatiwa a ACT wazalendo yenye wapiga kura bara na visiwani

Ikiufuatiwa na na CUF yenye wapiga kura bara na visiwani

Ya nne itakuwa Chadema yenye wapiga kura Tanzania bara tu ikifuatiwa na NCCR mageuzi

Kwa wabunge na madiwani hivyo hivyo

CCM itaongoza ikifuatiwa na ACT wazalendo ikifuatiwa na CUF

Chadema itakuwa ya nne Kama ikibahatika ingawa uwezekano mdogo sababu waliwekeza mijini ambako CCM mwaka huu imejipanga barabara Baada ya kujua kosa lile lilifanyika 2015 kwenye hiyo mini Chadema waliyoshika ubunge na udiwani
 
CCM Mungu amewaumbua sana kumuweka Lissu hai hadi leo.
Ona aibu ya watu waliotaka kuondosha uhai.
Mungu akawapa aibu zaidi hakuna aliyedhubutu kumgusa na sasa ndio anafuatwa na watu kama mfalme.
 
Acheni uhuni, haya matukio mnapanga wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…