Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sasa hapo wewe ni wapi hukuelewa?Hii habari si nzuri kabisa.
Mleta uzi, ingekuwa vizuri utuambie ni ofizi zipi, maana umesema ofisi za kanda ya kaskazini, sasa ni ofisi za nini? kutokana na maelezo ineonekana ni ofisi za CHADEMA.