Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

#Sasa basi
View attachment 1536624
View attachment 1536705

===
Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya

Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza

ZAIDI:

Ofisi za kanda ya Kaskazini zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petroli, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga kelele kuwa amevamiwa akiomba msaada akiwa anakimbia - anafukuzwa, hajapatikana hadi sasa.

Yote hayo yanatokea wakati mgombea urais wa CHADEMA ndg. Tundu Lissu akiingia Arusha leo kutafuta saini za wadhamini akitokea Katesh, Hanang
hii ndio ofisi iliyochomwa moto
CHADEMA kanda ya Kaskazini yafungua ofisi mpya jijini Arusha

1597393321498.png

1597393344823.png
 
Mnauhakika gani kama ni wapinzani wa Lissu ndiyo wamechoma moto acheni ushabiki acheni police wafanye kazi ya uchunguzi

We mbona akili kama kada wa ccm ? Police washawah kufanya kazi gani ya kiuchunguz wakafanikiwa chadema wakiwa ndio wahanga ? Nakuhakikishia hakuna uchunguzi utafanywa na hakuna atakae kamatwa sababu usenge wamefanya ccm, na police ni ccm..Kesi kibao zipo pending hadi leo na hazijawah kuwa solved sasa uchunguzi unaotaka wewe ni upi ? utaufanya wewe ?
 
Mastermind Wa umafia ndani ya Chadema yuko Arusha. Huko ndiyo mipango yote ya kujitekenya, kucheka, kufoka na kulia inapangwa.

Hii Ofisi wamejichomea wenyewe Ku draw attention ya Lissu. Wanataka wawafunike Tarime kwa mapokezi.

Chadema ni Chama cha vurugu.
 
nyie ndiyo pimbi kabisa mnaofikiria na kuamini kuwa lissu anaweza kupewa nchi kweli tumpe nchi kichaa? nani anataka shida? hatuwezi kukubali kaeni na ujinga wenu mshabikie kitu ambacho hakiwezekani
Nafikiri kichaa wa kwanza ni yule aliemkabidhi kichaa form za kutafuta wadhamini.
 
Kama Mbowe alianguka mwenyewe kwa ulevi wake alafu akatangaza amepigwa na wasiojulikana ili apate kiki ,hata hizo ofisi zimechomwa na Chadema ili wapate kiki vizuri.
Labda huelewi kiki zikoje. Kiki ni kama vile kutafuta majogoo yale ya kisasa kabisa ambayo ni nadra kuyakuta kijijini kisha kumkabidhi mzee yeyote, kumpa na shati LA kijani jipya ili amkabidhi Rais hadharani kuonyesha kumpenda.
Na Rais naye kuonyesha mapenzi kwa RAIA huyo kwa kumkabidhi amuoe mama yake aliye kitandani ili mzee wa jogoo awe baba wa kambo wa Rais.
Hizo ndio Kiki kama hujui
 
#Sasa basi
View attachment 1536624
View attachment 1536705

===
Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya

Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza

ZAIDI:

Ofisi za kanda ya Kaskazini zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petroli, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga kelele kuwa amevamiwa akiomba msaada akiwa anakimbia - anafukuzwa, hajapatikana hadi sasa.

Yote hayo yanatokea wakati mgombea urais wa CHADEMA ndg. Tundu Lissu akiingia Arusha leo kutafuta saini za wadhamini akitokea Katesh, Hanang
Naona mmeshaanza maigizo
 
Chadema mwache kutafuta umaarufu na kura za huruma kwa kuchoma ofisi zenu
 
Kama kwa Waziri mkuu wanamkidnap mgombea wa ACT na yeye hasemi kitu unadhani kuna serikali hapa Tanzania??!!!
 
Let us say ni Chadema ama ACT wenyewe wamefanya hivyo kwa nini hakuna kemea kitoka serikalini?
Ni serikali gani isiyokemea maovu jamani ebu fungueni hivyo vichwa vizito?
 
Narudia swali: Kwa nini serikali hii haikemei maovu yanapotokea kwa wananchi??? Hasa wavyama mbadala?????
Wanakemea tu inapohusu Rais! Kwani wengine hawana haki ya kuishi????

Sirro utaulizwa na Mungu!
 
#Sasa basi
View attachment 1536624
View attachment 1536705

===
Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya

Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza

ZAIDI:

Ofisi za kanda ya Kaskazini zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petroli, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga kelele kuwa amevamiwa akiomba msaada akiwa anakimbia - anafukuzwa, hajapatikana hadi sasa.

Yote hayo yanatokea wakati mgombea urais wa CHADEMA ndg. Tundu Lissu akiingia Arusha leo kutafuta saini za wadhamini akitokea Katesh, Hanang
Mlinzi keshapatikana na amedakwa na polisi si mlisema hajulikani alipo???
 
Ukweli umejulikana...mlinzi wao na wengine kutoka ufipa
Hiyo ni kiki mkuu. Inawezekana chadema wamechoma wenyewe ofisi zao, kutafuta huruma kwa wananchi.
Ccm ni chama kikubwa sana, hakijafikia kufanya upuuzi kama huo.
Hizi ni siasa za kipumbavu sana.
 
Back
Top Bottom