Yote haya ya nini kwa nn tusiamue tu kurudi kwenye mfumo wa Chama kimoja!! Uadui namna hii kisa siasa si vyema. Mwalimu alivyotusaidia kuleta huu mfumo hakumaanisha tufanye uadui kati yetu. Kuinusuru amani ya nchi better we go back. Tuvunje vyama vyooooote tuunde kimoja ili 2020 tupate Rais atakayetokana na mfumo huo. Vyama vingi tuwaachie wazungu sisi bado sana.