Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini.

Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊

Natanguliza Shukrani

Chakorii 🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Wamefunga ila hawana ofisi Tanzania, Kenya na Uganda kwa sasa, ila kama unaitaji mzigo wa kuuza au bidhaa maalum Kuna connection za kuchukulia UTURUKI, taja kipodozi unachihitaji
 
Wamefunga ila hawana ofisi Tanzania, Kenya na Uganda kwa sasa, ila kama unaitaji mzigo wa kuuza au bidhaa maalum Kuna connection za kuchukulia UTURUKI, taja kipodozi unachihitaji
Ninahitaji mzigo wa kuuza mkuu.
 
Back
Top Bottom