Ofisi za serikali zinaweka namba ambazo hazipatikani, Nilishasema tangu zamani Miafrika inashida fulani sio bure

G

guest-1788671453

Guest
Yani ukikaa Afrika kila kitu ni kero, halafu mtasema hawa ni watu watu wa kawaida kweli?
Shithole

Ofisi za serikali namba hazipatikani, zinazopatikana hazipokwlewi

mfano namba moja ni NIDA

mkurugenzi yupo na analipwa mshahara kila mwezi?


mbona ofisi za private na taasisi za private namba zao huwa ziko active?
 
Ni shida sana. Ni bora zisiwepo. Na hata zinazopatikana mara chache sana kupokelewa.
 
Kwanye mitandao ya kijamii hawajibu meseji hata ukiwafuata inbox , ofisi nyingine tena taasisi kubwa walishabadilisha address ila ile ya zamani bado ipo kwenye website yao.
 
 

Attachments

  • IMG-20260829-WA0049.jpg
    34.8 KB · Views: 18
  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 12
Kwanye mitandao ya kijamii hawajibu meseji hata ukiwafuata inbox , ofisi nyingine tena taasisi kubwa walishabadilisha address ila ile ya zamani bado ipo kwenye website yao.
yapo tu ofisini
 
Ofisi yoyote ambayo namba za watoa huduma zipo hewani muda wote ni zile zinazohusu wao kukusanya pesa,kukusanya mapato,kukusanya michango,kukusanya ushuru,kuuza mali flani ila namba za mtoa huduma ambae anatakiwa kukupa maelekezo wewe jinsi ya kulipwa pesa zako,kupewa hati,kupewa nyumba au gari au kupewa haki yoyote hua kupatikana na kupewa ushirikiano ni 60% uko kwingine utumie nguvu,uwe msumbufu ndio utoboe
 
Ofisi nyingi za serikali kama hujafika Ofisini mwenyewe wakuone ni vigumu kuhudumiwa
 
Afisa wa serikali anakupa miadi ya kushughulikia tatizo lako. Ikifika siku ya ahadi anakuuliza ni kuhusu nini vile?

Ni kwamba hawako tayari kufanya kazi zao pasi na ushawishi wa rushwa. Wala hawaoni shida kukuzungusha hata miaka.
 
Hata zikipatikana haziokelewi na zinapikwa kwa kuchelewa sana
 
Kuna nssf hao nao pia hawapokei simu. Watendaji wa serikali wengi wao hamna wa kuwawajibisha, hamna wa kuwauliza, na hamna kitu watawafanya. Hivyo hawajali kama kuna hizo simu, wala hawahitaji kuwa na customer service. Na kama ikitokea wakaletewa shida kwa utovu wa nidhamu adhabu ni kumhamisha kituo na sio kumfukuza kazi. Sasa hapo nani atashtuka si anajua nitahamisha kituo na ninapewa hela ya kuhama na mshahara uko pale pale.
 
Sio office zote lakini, zipo ambazo wanafanya kazi vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…