Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Nimekaa na kuishi na watu kadhaa, unamtendea sivyo ila yeye ana smile tu. Hasemi kitu.
Yeye pamoja na mabaya yanayofanywa na watu wanaoona wako sawa na wabishi yeye kazi yake ni kuongea kidogo baadae mnapojadili yeye kimya, na kuendelea ku smile 😃 tu.
Kuna maamuzi atachukua na utashangaa tu ameshasepa, mwingine wala hakukimbii anakuacha tu.
Kuna dada mmoja ofsn, amezoeana na mkaka flan, ama walikuwa wanatoka wote au mkaka alimtongoza bidada. Sasa kwa sababu mdada ni kivuruge, amekuwa akimtania tena maneno mabaya yule mkaka , kaka wa watu kazi yake ni kutabasamu tu. Miaka inaenda na maisha yanavyosonga, bidada hatchi...kuna wadada kama wawili inasadikika huyu mkaka Amepita nao...bidada anazidi kumtania ila ni kama anamkomoa mkaka yule Mpolee ila kiwembe....
Movie iliendelea bidada anaonekana kuumia na amekuwa Mpole kwa mkaka...alichokufanya mkaka ni mimba ya kwanza...mtoto hajaanza kutembea au kuongea vzr akampiga nyingine...na wala sio wanandoa