Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
💯kikwete ana nuru na maisha marefu sabu ana uhakika wa maisha yale ya kifalme, (daraja la juu zaidi) hoja yako haina uhalisia mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯kikwete ana nuru na maisha marefu sabu ana uhakika wa maisha yale ya kifalme, (daraja la juu zaidi) hoja yako haina uhalisia mkuu.
Very true, najaribu sana ku copy personality ya huyu muheshimiwa. Stress free lifeNilikuja kugundua mtu anaetabasamu mara nyingi hata katika mambo magumu na mabaya anakuwa na maisha marefu yenye furaha na amani na uso wake una nuru wakati wote,
Mfano mh Kikwete .