kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
kwenye mawindo yao....utaftajiHupoteleawapo.Wapi..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye mawindo yao....utaftajiHupoteleawapo.Wapi..?
Ahahahah atucheki na mtoto..kwenye mawindo yao....utaftaji
Hupotea kivip?Wachache sana kitaa ilawapo na wengine hupotea kabisa
Kutafuta watu wanaoendana naoHupotea kivip?
Huyo ni exrtoverted introvertHawa watu ni balaa,, yupo kaka yetu Huwa ni mkimya na anasauti ya kipole sana, hua mara nyingi anatabasamu, aliwahi kufanya matukio mpka kesho nikiona mtu anamfanyia mazoea namtahadharisha 'kaka yangu ni kichaa atakuua'
1.jamaa hua ni mchezaji mzuri wa mpira, beki mzuri tuu, Kuna siku kulikua na mechi za wafanyakazi ofisini kwao, jamaa akaomba acheze striker, kisa Kuna beki wa upande WA pili alimwita jamaa mchele mcehele Hana maajabu, bro alisumbua sana mbele mabeki akiwepo jamaa aliemdharau, eh jamaa akaona hizi sifa Sasa, akamchezea rafu mbaya sana brother... Akapewa penati, goli!! Sasa Cha ajabu mpira ukaenda kati brother akaanza kuukokokota sio kulifuata goli anamfuata jamaa, kufika kwake akafanya kama kumpasia hivi, jamaa Ile anaupokea alichotwa mtama akapaa hewani akatua kwa taya aisee jamaa alililia kama mtoto, mkono ulivunjika, taya zimepinda, aliuguzwa karibu miezi sita.
2.kuna Mzee mmoja mtaani alimjibu vibaya mama yetu, akamtishia vibaya na hatimaye kumpiga kibao, visa tuu vya kibiashara, brother hakuwepo, alivyofika Mzee yupo upande WA pili jamaa anahadithiwa tuu anajibu kwa upole na uso WA tabasamu, kidogo jamaa akaingia jikoni akachukua panga, akatoka nje kawaida tuu, akafika mlangoni kwa huyo Mzee sijui ikawaje Kuna msumari ulimshika shati jamaa akajivuta kwa speed ya ajabu shati likagawanyika, Mzee alisikia akatoka ghafla kama mshale aisee lilirushwa panga hewani... Lilimkosa yule Mzee hajakaa sawa panga lipo angani jamaa yupo speed anamfuata, Mzee alichotwa mtama, ametua sijui panga lilifuatwa mda gani tayari kashaliweka shingoni kwa Mzee,, aisee kina mama sio vilio, kilichosaidia ni vijana mtaani na bibi yetu alikua analia na kutoa machozi... Jamaa akanyanyuka akaenda chumbani kwake kulala, aliamka usiku, kula!!
Yani asubuhi asubuhi mnawaza kutombanatuu why? Now your focus should be on working. Kama taifa tunaelekea wapi?Nimekaa na kuishi na watu kadhaa, unamtendea sivyo ila yeye ana smile tu. Hasemi kitu.
Yeye pamoja na mabaya yanayofanywa na watu wanaoona wako sawa na wabishi yeye kazi yake ni kuongea kidogo baadae mnapojadili yeye kimya, na kuendelea ku smile 😃 tu.
Kuna maamuzi atachukua na utashangaa tu ameshasepa, mwingine wala hakukimbii anakuacha tu.
Kuna dada mmoja ofsn, amezoeana na mkaka flan, ama walikuwa wanatoka wote au mkaka alimtongoza bidada. Sasa kwa sababu mdada ni kivuruge, amekuwa akimtania tena maneno mabaya yule mkaka , kaka wa watu kazi yake ni kutabasamu tu. Miaka inaenda na maisha yanavyosonga, bidada hatchi...kuna wadada kama wawili inasadikika huyu mkaka Amepita nao...bidada anazidi kumtania ila ni kama anamkomoa mkaka yule Mpolee ila kiwembe....
Movie iliendelea bidada anaonekana kuumia na amekuwa Mpole kwa mkaka...alichokufanya mkaka ni mimba ya kwanza...mtoto hajaanza kutembea au kuongea vzr akampiga nyingine...na wala sio wanandoa
😆🤣😆Ni kweli kabisa kuna jamaa alikuwa wa hivyo Sasa Mimi nikawa nimezoea nikikutana naye na wakiwepo watu wengine naanza kumtania watu wanamcheka Ila yeye hajibu anatabasamu tu .
Siku moja nikamtania tena mbele ya watu wakacheka sana yeye akasmile Sasa wakati wa kutawanyika nikampa lift kwenye Corolla yangu tulikuwa wawili tu ,jamaa alinikwida vibaya ovyo ,akanibana Koo alafu ndiyo akawa anasema unapenda sana kunidhalilisha ,nililia sana kwa kile kibano omba msamaha wapi ,mwamba anatembeza makonde tu alafu kanibana kwenye Sterling nikaona Cha kufia nini nikawa napiga makelele ndiyo watu kuja kutuamulia toka siku hiyo jamaa namheshimu sana na simletei utani kabisa.
Hivyo hata job nikiletaga tafrani utasikia boss anasema au tumuite fulani lengo niogope
Kuna wangine wanatabasamu nje, ila ndani moto unawaka.Nilikuja kugundua mtu anaetabasamu mara nyingi hata katika mambo magumu na mabaya anakuwa na maisha marefu yenye furaha na amani na uso wake una nuru wakati wote,
Mfano mh Kikwete .
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ni kweli kabisa kuna jamaa alikuwa wa hivyo Sasa Mimi nikawa nimezoea nikikutana naye na wakiwepo watu wengine naanza kumtania watu wanamcheka Ila yeye hajibu anatabasamu tu .
Siku moja nikamtania tena mbele ya watu wakacheka sana yeye akasmile Sasa wakati wa kutawanyika nikampa lift kwenye Corolla yangu tulikuwa wawili tu ,jamaa alinikwida vibaya ovyo ,akanibana Koo alafu ndiyo akawa anasema unapenda sana kunidhalilisha ,nililia sana kwa kile kibano omba msamaha wapi ,mwamba anatembeza makonde tu alafu kanibana kwenye Sterling nikaona Cha kufia nini nikawa napiga makelele ndiyo watu kuja kutuamulia toka siku hiyo jamaa namheshimu sana na simletei utani kabisa.
Hivyo hata job nikiletaga tafrani utasikia boss anasema au tumuite fulani lengo niogope
Jichanganye sasa kutabasamu tu wakat akil hakuna, utanuna mwenyewe !!😂Nilikuja kugundua mtu anaetabasamu mara nyingi hata katika mambo magumu na mabaya anakuwa na maisha marefu yenye furaha na amani na uso wake una nuru wakati wote,
Mfano mh Kikwete .
Wataka mkunaUnawashwa eeh haha
HongeraJichanganye sasa kutabasamu tu wakat akil hakuna, utanuna mwenyewe !!😂
Hii sio character ya kujifanyisha, hiyo ni inborn blessing. Usije ukafikiri kutabasam kule ni anataka iwe hivyi, it just happen na hata yeye ukimuuliza why anaweza asikuoe jibu hata kidogo.
Mfano mimi, tabia yangu ambayo hata sijuagi kwann niko hiv ni "kuchukulia poa na kudharau tatizo linaponipata. Yan kuna time naweza amka hime sina kitu na wife akaja na list ya items kwenye invoice, wala hata sijitaabisha, nitamwambia tu SINA HELA kwa upole tu huku sifurah wala sikasirik wala sihuzuniki. Na simpi maelezo mengi zaidi ya SINA.
LAKIN hapo sasa kichwa kinakua kinazunguka na kupiga hesabu haraka sana kujarubu kupata namna ya kutatu. Na nikikosa ndio basi inakua hivyk, naomba Mungu na kumshukuru nukingojea wakat mwingine. But always huwa navuka kwa namna flan.
Ndio love....Wataka mkuna
Hiyo ni kariba ya mtu, kuna kariba tofauti tofauti za watu hapa duniani.Nimekaa na kuishi na watu kadhaa, unamtendea sivyo ila yeye ana smile tu. Hasemi kitu.
Yeye pamoja na mabaya yanayofanywa na watu wanaoona wako sawa na wabishi yeye kazi yake ni kuongea kidogo baadae mnapojadili yeye kimya, na kuendelea ku smile 😃 tu.
Kuna maamuzi atachukua na utashangaa tu ameshasepa, mwingine wala hakukimbii anakuacha tu.
Kuna dada mmoja ofsn, amezoeana na mkaka flan, ama walikuwa wanatoka wote au mkaka alimtongoza bidada. Sasa kwa sababu mdada ni kivuruge, amekuwa akimtania tena maneno mabaya yule mkaka , kaka wa watu kazi yake ni kutabasamu tu. Miaka inaenda na maisha yanavyosonga, bidada hatchi...kuna wadada kama wawili inasadikika huyu mkaka Amepita nao...bidada anazidi kumtania ila ni kama anamkomoa mkaka yule Mpolee ila kiwembe....
Movie iliendelea bidada anaonekana kuumia na amekuwa Mpole kwa mkaka...alichokufanya mkaka ni mimba ya kwanza...mtoto hajaanza kutembea au kuongea vzr akampiga nyingine...na wala sio wanandoa
Ah yule ni kichaa.. japo ni mstaarabu sana.. na muungwana mno!! Ila hayo matukio mawili yalinisababishia nimwone hayupo sawa!
SureNilikuja kugundua mtu anaetabasamu mara nyingi hata katika mambo magumu na mabaya anakuwa na maisha marefu yenye furaha na amani na uso wake una nuru wakati wote,
Mfano mh Kikwete .