Ogopa binadamu unaongea naye hakujibu bali anatabasamu

Huyo ni exrtoverted introvert
Extrovert
Extroverted Introvert
πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Yani asubuhi asubuhi mnawaza kutombanatuu why? Now your focus should be on working. Kama taifa tunaelekea wapi?

Imaam Hussein kipenzi chetu cha dhati tusaidieeee twaafaa kwa upuzi.

 
πŸ˜†πŸ€£πŸ˜†
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bufa
 
Nilikuja kugundua mtu anaetabasamu mara nyingi hata katika mambo magumu na mabaya anakuwa na maisha marefu yenye furaha na amani na uso wake una nuru wakati wote,
Mfano mh Kikwete .
Jichanganye sasa kutabasamu tu wakat akil hakuna, utanuna mwenyewe !!πŸ˜‚
Hii sio character ya kujifanyisha, hiyo ni inborn blessing. Usije ukafikiri kutabasam kule ni anataka iwe hivyi, it just happen na hata yeye ukimuuliza why anaweza asikuoe jibu hata kidogo.

Mfano mimi, tabia yangu ambayo hata sijuagi kwann niko hiv ni "kuchukulia poa na kudharau tatizo linaponipata. Yan kuna time naweza amka hime sina kitu na wife akaja na list ya items kwenye invoice, wala hata sijitaabisha, nitamwambia tu SINA HELA kwa upole tu huku sifurah wala sikasirik wala sihuzuniki. Na simpi maelezo mengi zaidi ya SINA.

LAKIN hapo sasa kichwa kinakua kinazunguka na kupiga hesabu haraka sana kujarubu kupata namna ya kutatu. Na nikikosa ndio basi inakua hivyk, naomba Mungu na kumshukuru nukingojea wakat mwingine. But always huwa navuka kwa namna flan.
 
Hongera
 
Hiyo ni kariba ya mtu, kuna kariba tofauti tofauti za watu hapa duniani.

Watu wenye kariba ya namna hiyo wanajulikana kwa majina yafuatayo,

1.complex people.
2.Introvert (halmaarufu)
3.Sigma (lone wolf) etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…