Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

Tundusami

Senior Member
Joined
Feb 7, 2026
Posts
116
Reaction score
270
Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati.

Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
 
Huko mbeleni tutakuja kuwa na wanaume dhaifu sana na waoga kwa hizi kampeni za kipuuzi zinazoendelea mtandaoni. Kwa mfano;

1. Usioe mwaname mwenye miaka 30+
2. Usioe single mother
3. Usile wanga
4. Kula mara moja kwa siku
5. Usipeleke mtoto advance
Hahaha ongeza na hii usioe mwanamke asiekua Bikra.. hapo lazima uchoke
 
Hilo ni kweli, baada ya kusoma hili bandiko nimevuta picha ya jamii zetu, haipingiki hiyo, hawanaga mapenz hao wanalenga manufaa yao, kukumaliza au kukugeuka ili wawe na kitu ni kugusa tu, hafkrii mara mbili.
Nifikirie nini sasa? Unafikiri wanaume wote wana pesa za kuwashtua hao single maza? Wengine mnaonewa huruma lakini mnajipa umuhimu mpaka mnaanzisha nyuzi za kifala
 
Huko mbeleni tutakuja kuwa na wanaume dhaifu sana na waoga kwa hizi kampeni za kipuuzi zinazoendelea mtandaoni. Kwa mfano;

1. Usioe mwaname mwenye miaka 30+
2. Usioe single mother
3. Usile wanga
4. Kula mara moja kwa siku
5. Usipeleke mtoto advance
Waoga kila kitu ila kampeni za kupita na mashoga hatuzioni, mbona hawaogopi nyoka?
 
Back
Top Bottom