Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

Mkuu, ukiona wanaume wawili watatu wanaongelea Jambo moja ujue hawafanyi.
They must be talking from their own experiences

Sisi ndo huwa tunaishi na hawa viumbe tunajua mziki wao
Wanaume wawili watatu ndio walete hast generalizations zao hapa? Umekutana na shetani mwenzio basi pole yako sio uanze kuhubiria watu wanawake wote wapo hivi bla bla bla! Nyie mnajua sisi mambo tunayokumbana nayo😅 basi niishie hapa..
 
Sio tatizo mwanaume mwenye miaka 50 akioa mwanamke 30+ au single mother

Lakini kijana ambaye yupo chini ya miaka 45 kuoa mwanamke single mother na mwenye miaka 30+ namuona kama kuna elimu hakupewa na Babaake
Hata kama upo 50 Unakulaje nyama zilizoachwa kwenye sahani na mtu mwingine?

Labda kama mfukoni ni teeeee
 
Wanaume wawili watatu ndio walete hast generalizations zao hapa? Umekutana na shetani mwenzio basi pole yako sio uanze kuhubiria watu wanawake wote wapo hivi bla bla bla! Nyie mnajua sisi mambo tunayokumbana nayo😅 basi niishie hapa..
Seran nakuhakikishia hivi, katika single mothers 100 utapata mmoja tu aliyenyooka.
Waliobaki wengine wote ni miyeyusho
 
Mie mseme nimerogwa sijui vipi ila 35+ mpaka 45+, wananisuuza sana moyo wangu..
Sasa mie saa hivi nikachukue binti 20, 23.. naanzaje mimi kumuongelesha!!
Kifupi siwezi.
Vijana wanaweza ndio maana kutwa kutukana wanawake matured humu! Saa ingine kila akiwadanganya hawaingii kwenye mifumo yake, basi anatafuta tutoto atudanganye!!
 
Seran nakuhakikishia hivi, katika single mothers 100 utapata mmoja tu aliyenyooka.
Waliobaki wengine wote ni miyeyusho
Duhh kwani nyie mnakutana na wanawake wa aina gani jamni na ni wapi huko? Am surrounded by very well centered independent women and have strong self assurance who understand themselves! Sijawahi ona hizo story mnaleteana humu daily! Mnawatoa wapi?? Mtu ajidhalilishe kisa ana mtoto? Unajua kulala na watu hovyo ni tabia ya mtu? Where exactly do guys meet ur spouses🤔 mnashangaza sana!
 
Back
Top Bottom