Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hapana aisee! Watoto wabichi sana hawa..Kama hela ipo kamata kitoto 18 - 20. Vipo vingi tu familia ina njaa tia mchuzi tunywe
Hapana aisee! Watoto wabichi sana hawa..Kama hela ipo kamata kitoto 18 - 20. Vipo vingi tu familia ina njaa tia mchuzi tunywe
Lakini sijaona wapi wamezuiliwa🤷🏽♀️ Au kuna mtu huko kashikiwa bastola mkuuAcha vijana waanzishe maboma yao siyo waendeleze boma zilizopigwa chini na mabro wao
Sio bikra Anna kuoa kabisaHahaha ongeza na hii usioe mwanamke asiekua Bikra.. hapo lazima uchoke
Na kwel single maza anaitaji hela sana kuwa nae ni bora uache kama una sasampa.Nifikirie nini sasa? Unafikiri wanaume wote wana pesa za kuwashtua hao single maza? Wengine mnaonewa huruma lakini mnajipa umuhimu mpaka mnaanzisha nyuzi za kifala
Akili ni tofauti na uwezo, unaweza kuwa na hela halafu akili huna.Natunza kila shilingi,situmio hovyo, ndiyo maana nimeajiri mbulukenge kumi kama wewe
Ungeachana na hao wanaume ambao hawawataki single mother, badala yake nguvu unayotumia ungeitumia kuwashauri kaka zako na mtoto wako wa kiume(kama unae) wawaoe hao single mothersWanaume wawili watatu ndio walete hast generalizations zao hapa? Umekutana na shetani mwenzio basi pole yako sio uanze kuhubiria watu wanawake wote wapo hivi bla bla bla! Nyie mnajua sisi mambo tunayokumbana nayo😅 basi niishie hapa..
Unataka ule vilivyooza???Hapana aisee! Watoto wabichi sana hawa..
Sina kaka wala huyo mtoto wa kuwashauri ndiomaana nipo hapa wakipatikana ntawashauri!Ungeachana na hao wanaume ambao hawawataki single mother, badala yake nguvu unayotumia ungeitumia kuwashauri kaka zako na mtoto wako wa kiume(kama unae) wawaoe hao single mothers
Basi tuache sisi tuwashauri wadogo zetu wasiguse kabisa hao masingo maza. Wewe subiri upate mtoto wa kiume nawe umshauri aoe singo mazaSina kaka wala huyo mtoto wa kuwashauri ndiomaana nipo hapa wakipatikana ntawashauri!
Sex trafficking!kama umeangalia Epstein files na documentaries huwezi kumaanisha unachosema!Unataka ule vilivyooza???
Tazama wenzio kina trump na matajiri wenzao wanakula mali gani
Mapenzi ya kudanganyana, mapenzi ya kufake ni huko huko kwa watoto huku mnazungumza kikubwa mnaelewana kikubwa.. mnapeana kikubwa, mnaishi kikubwa.Vijana wanaweza ndio maana kutwa kutukana wanawake matured humu! Saa ingine kila akiwadanganya hawaingii kwenye mifumo yake, basi anatafuta tutoto atudanganye!!
Wewe wadogo zako wako humu? Kawashauri wadogo zako wa nyumbani na wanao!Basi tuache sisi tuwashauri wadogo zetu wasiguse kabisa hao masingo maza. Wewe subiri upate mtoto wa kiume nawe umshauri aoe singo maza
Tatizo kubwa sana hili kwenye jamii. Mwanamke akiweka standard(hata ambazo astahili) anajitambua, mwanaume akiwa na standard ni kosa.Kama wanawake wanawawekea vigezo vijana kwamba muwe na hela na nyie wakazieni hivo hivo wekeni standards kama bikra, tabia njema & asiwe single mother.
Wadogo zangu wapo humuWewe wadogo zako wako humu? Kawashauri wadogo zako wa nyumbani na wanao!
Mie nilimaanisha 18 kwenda mbele(legal age)Sex trafficking!kama umeangalia Epstein files na documentaries huwezi kumaanisha unachosema!
Basi komaa naoWadogo zangu wapo humu
Issue ya trump ndio hapo sasa, ila huo umri kuwa na binti mdogo ata kama ni 20s sio sawaMie nilimaanisha 18 kwenda mbele(legal age)
Ukigusa chini ya hapo kuna sehemu inakuita.