Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

Yamekukuta yapi?
Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati.

Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
 
Nafikiri point ya mtoa uzi ni hii, Yani anawaza mdada tangu amefika miaka 18 hadi 30, tena wengine unakuta wana muonekano mzuri tu shepu Hilo, inakuaje hajapata mwanaume hata mmoja serious wa kumuoa, mtoa mada anawaza unaeza kuta mdada ana mapungufu makubwa ya kitabia yanayofanya wanaume wamkimbie Seran
Inawezekana lakini sio lazima iwe hivyo
 
Wanawake wa hovyo wako wengi sana kuliko wanawake wa maana, ungekua mwanaume kwa mwaka mmoja tu kwenye hii tasnia ya mapenzi huenda ungenielewa, hata wadada ambao ni bikra,na ambao sio single mothers, wengi nao ni vichefuchefu Seran
Hapo nakuelewa lakini kutukana kila mwanamke sio solution ya matatizo mnayokutana nayo!
 
Hahahahahahahahahahahaha eti una hela ya kutulisha mimi na familia yangu hapa sasa ndio umejionesha wewe ni KAPUKU maana ndio maneno yenu hayo ya kujifariji,

Unatumia gari gani tajiri wa ndotoni hebu tuma picha yake ukiambatanisha na bank statement ututetemeshe sie kajamba nani🤣🤣🤣

Nasema hiviiiii, kwanza hujaoa, pili hujawahi kupata mwanamke bikra, tatu huna nyumba wala gari umepanga zako mburahati huko unakuja kutunukisha mijasho yako hapa, kataa hadharani ila moyoni unajua WEWE NI ZAO LA SINGLE MOM

NB: Ukituma picha ya gari lako la thamani ukiambatanisha na bank statement andika na kikaratasi mariposa, nitakuja hapa kukuomba msamaha nikiwa live kwenye video 😂
Njoo PM, next wikiend nitakuelekeza kiwanja gani uje kupata uthibitisho wa unachotaka kuthibitisha. Ukitaka kuja pamoja na mkeo na wanao ni sawa, bill yenu nitalipa

NB:Ndinga ninayosukuma sio toyota, ni chuma cha mjerumani. Nilinunua 3 years back wakati nafanya kazi Delloite kama statistic analyst. Kumbuka Delloite pale zinapiga kazi first classes with honors tu.
 
Endelea kuota hapo kwenye kichumba kichafu kilichojaa vumbi, ushashiba ubwabwa wako kwa mama ntilie unakuja kuturushia mate humu, 🤢😆

Tajiri unaita watu PM badala urushe hapa ndinga lako la mjerumani JF yote itikisike na nimekwambia ukifanikiwa hilo nitaingia live kukuomba msamaha kwa video,

Sasa sio jumatatu uende ukarande rande kwenye parkings za watu huko kutafuta gari ya mjerumani upige nayo picha, utaitwa mwizi na minywele yako hiyo usochana🤣🤣🤣
 
Mwanamke wa miaka 25+ akijichekesha kwangu, mimi hujihisi nina mkosi.

Huwa nawaza kwanini kanichagua mimi kuniachia mikosi na UTI kati ya wanaume wote duniani?
 
Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati.

Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo

Mimi napenda CCM
 
Huko mbeleni tutakuja kuwa na wanaume dhaifu sana na waoga kwa hizi kampeni za kipuuzi zinazoendelea mtandaoni. Kwa mfano;

1. Usioe mwaname mwenye miaka 30+
2. Usioe single mother
3. Usile wanga
4. Kula mara moja kwa siku
5. Usipeleke mtoto advance
Mpaka watu kuwazungumzia single mother si wanaonewa wengi wanakutana na hayo Mambo hata Mimi mwenyewe ni muathirika wa single mother nilimsaidia mtoto wake tangu akiwa na mimba mpaka anajifungua ila nilivyokuja kugeukwa acha tu mkuu acha wapigwe spana humu
 
Kila mtu atetee kundi lake! Mi ndio nimechagua hili nitawatetea kwa namna yoyote ile ujinga ni mwingi sana!
Naelewa ila una wakati mgumu sana kutetea kundi la single mother Waathirika wa hili kundi ni wengi sana wamekutana na matukio ya masingle mother's Bora wangekuwa wachache sawa lakini ni wengi mno lazima ukutane na ushuhuda wa kupigwa tukio na single mother Mimi mwenyewe nimekutana na Hilo dhuruba Mimi niliwahi kuwa na mahusiano na single mother Tena kipindi yupo na mimba na aliyempa mimba akamterekeza kwasababu nilimpenda nikaamua nimuhudumie yeye pamoja na mtoto mpaka anajifungua mapenzi yalikuwa moto ndani ya miaka 2 baada ya hapo uchumi ulivyoyumba kidogo demu akawa ananisaliti vibaya mno na kibaya zaidi akarudiana na mzazi mwenzake nilichoka moyo mpaka akili. Bibie Seran sio kwamba hawa single mother wanaonewa la hasha matendo yao ndio yanawahukumu na nature zao yaani ni Kama vile wanaambiana
 
Mkuu, ukiona wanaume wawili watatu wanaongelea Jambo moja ujue hawafanyi.
They must be talking from their own experiences

Sisi ndo huwa tunaishi na hawa viumbe tunajua mziki wao
Mimi nilimuhudumia kuanzia mimba yake na yeye mwenyewe aliyopewa na jamaa aliyemterekeza mpaka anajifungua mwisho wa siku nikaja kujua kumbe manzi wanakaa pamoja na baba mzazi wake oya nilichoka maini mpaka akili huwa hawa viumbe wanamatatizo yanayofanana ni Kama vile Wana mapepo
 
Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati.

Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
Naunga mkono hoja
 
Naelewa ila una wakati mgumu sana kutetea kundi la single mother Waathirika wa hili kundi ni wengi sana wamekutana na matukio ya masingle mother's Bora wangekuwa wachache sawa lakini ni wengi mno lazima ukutane na ushuhuda wa kupigwa tukio na single mother Mimi mwenyewe nimekutana na Hilo dhuruba Mimi niliwahi kuwa na mahusiano na single mother Tena kipindi yupo na mimba na aliyempa mimba akamterekeza kwasababu nilimpenda nikaamua nimuhudumie yeye pamoja na mtoto mpaka anajifungua mapenzi yalikuwa moto ndani ya miaka 2 baada ya hapo uchumi ulivyoyumba kidogo demu akawa ananisaliti vibaya mno na kibaya zaidi akarudiana na mzazi mwenzake nilichoka moyo mpaka akili. Bibie Seran sio kwamba hawa single mother wanaonewa la hasha matendo yao ndio yanawahukumu na nature zao yaani ni Kama vile wanaambiana
I feel u bro, na ninasikitika sana! Ila swali ni kwamba unataka kuniambia huyo demu asingekuwa na mtoto angeendelea kukaa na wewe? Tatizo mnachanganya tabia za mtu binafsi na mtu kuwa single mom! Haijalishi mtu ana mtoto au lah ila tabia ya mtu iko palepale! Kundi kubwa sana limeongezeka kwa sababu ya upuuzi wa kuigana huko vyuoni, kila binti nataka kuzaa na kiboyfrend chake! Ni kama fashion kwa kuwa pesa zinatumwa na wazazi wa pande zote mbili, mambo yakibuma wanaanza kusota kijqna anapita kushoto! hapo siwezi kumlaumu maana walikuwa wajinga wote!

Wadada wengi wana tabia za kuigana ile ameona kapo fulani imefanikiwa kuzaa na bado wanapendanda wamepambana mpaka wameoana basi anajaribu na kianaume chake!mwingine akiataka kuachwa anabeba mimba, mwingine akiona hapa kuna pesa anabeba mimba, mwingine akitaka umuoe ana risk kubeba mimba! Mwingine mimba imegoma kutoka! Mwingien kapenda tu jinsi ulivyo kaona azae! Mwingine ni failed relationship! kila mtu ana sababu zake tupunguze kuhukumu watu wote kwa upumbavu wa wachache, Umejaribu kudate dame asiye na mtoto ukaona ni mvumilivu kuzidi huyo singo mom?
 
Bt the bottom line is single mothers are much way worse than those who are yet to be single mothers.

Personally, I have dated a couple of single mothers and as well dated non- single mothers at different times, and my conclusion is that a man should date a single mother at his own peril.

I rest my case.
 
Back
Top Bottom