Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

Bt the bottom line is single mothers are much way worse than those who are yet to be single mothers.

Personally, I have dated a couple of single mothers and as well dated non- single mothers at different times, and my conclusion is that a man should date a single mother at his own peril.

I rest my case.
Simple as that! Umeeleweka vizuri..
 
Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati.

Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo

Demu anakuwa kwenye peak ya uzuri/ubora at 22 ,akiweza kujikeep vizuri anaenda hadi 35 baada ya hapo ndiyo changamoto.

Demu wa 30 ni Pisi ya Kwenda tena anakuwa wa MOTO hasa.

Walio kwenye mkakati ni >35.
 
Muongo mi Nina miaka iyo na Nina mtoto na Nina upendo
Wewe si ulikuwa unalalamika kuwa wanaume wawe wanatoa hela, nyinyi single mother mnapenda mwanaume anayehudumia mtoto wako tofauti na hapo upendo hamna
 
Hao wanaume wa hivyo wapo Jamii Forum tu, mitaani ni tofauti,
Ndoa zinafungwa kama njugu kuanzia 30s na kuendelea, single moms wanaolewa kama kawaaa, wasio na bikra ndo usisemeee,

Kiufupi wanaume wengi waliopo jamii forum wanatatizo la ukata, wengi wamemaliza vyuo ajira hawana, wanahasira, hawajiamini, wana hofu matokeo yake wanatafuta jamii nyonge na dhaifu kutapika nyongo zao ili wajisikie afueni.
Kama una mtoto au mdogo unaweza kuruhusu amuoe single mother? ikiwa yeye Hana mtoto nijibu kwa ukweli wako bila kupepesa Mungu wako anakuona
 
Hahahahahahahahahahahaha eti una hela ya kutulisha mimi na familia yangu hapa sasa ndio umejionesha wewe ni KAPUKU maana ndio maneno yenu hayo ya kujifariji,

Unatumia gari gani tajiri wa ndotoni hebu tuma picha yake ukiambatanisha na bank statement ututetemeshe sie kajamba nani🤣🤣🤣

Nasema hiviiiii, kwanza hujaoa, pili hujawahi kupata mwanamke bikra, tatu huna nyumba wala gari umepanga zako mburahati huko unakuja kutunukisha mijasho yako hapa, kataa hadharani ila moyoni unajua WEWE NI ZAO LA SINGLE MOM

NB: Ukituma picha ya gari lako la thamani ukiambatanisha na bank statement andika na kikaratasi mariposa, nitakuja hapa kukuomba msamaha nikiwa live kwenye video 😂
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Demu anakuwa kwenye peak ya uzuri/ubora at 22 ,akiweza kujikeep vizuri anaenda hadi 35 baada ya hapo ndiyo changamoto.

Demu wa 30 ni Pisi ya Kwenda tena anakuwa wa MOTO hasa.

Walio kwenye mkakati ni >35.
Waambie hao, wanalinganisha 30 ya zamani na sasa😅 30 tumegoma
Kuzeeka huku! Watukome👌🏽
 
Waambie hao, wanalinganisha 30 ya zamani na sasa😅 30 tumegoma
Kuzeeka huku! Watukome👌🏽

Hahahaa mimi kwangu hadi 35 namuona pisi tu ya kwenda ,wanawake ni matunzo akipata wa kumtunza vizuri kupata mahitaji yake ya vipodozi ,nguo nk na mileage hasogezi sana basi hadi 45 anakuwa bado ng'ari ng'ari.
 
I feel u bro, na ninasikitika sana! Ila swali ni kwamba unataka kuniambia huyo demu asingekuwa na mtoto angeendelea kukaa na wewe? Tatizo mnachanganya tabia za mtu binafsi na mtu kuwa single mom! Haijalishi mtu ana mtoto au lah ila tabia ya mtu iko palepale! Kundi kubwa sana limeongezeka kwa sababu ya upuuzi wa kuigana huko vyuoni, kila binti nataka kuzaa na kiboyfrend chake! Ni kama fashion kwa kuwa pesa zinatumwa na wazazi wa pande zote mbili, mambo yakibuma wanaanza kusota kijqna anapita kushoto! hapo siwezi kumlaumu maana walikuwa wajinga wote!

Wadada wengi wana tabia za kuigana ile ameona kapo fulani imefanikiwa kuzaa na bado wanapendanda wamepambana mpaka wameoana basi anajaribu na kianaume chake!mwingine akiataka kuachwa anabeba mimba, mwingine akiona hapa kuna pesa anabeba mimba, mwingine akitaka umuoe ana risk kubeba mimba! Mwingine mimba imegoma kutoka! Mwingien kapenda tu jinsi ulivyo kaona azae! Mwingine ni failed relationship! kila mtu ana sababu zake tupunguze kuhukumu watu wote kwa upumbavu wa wachache, Umejaribu kudate dame asiye na mtoto ukaona ni mvumilivu kuzidi huyo singo mom?
Mimi mwenyewe kabla sijawaha na huyo single mother wadau walinionya sana nisiwe na mahusiano na single mother Mimi nikawa mbishi hiko ndicho kilikuja kunikuta ndio nikajua kwanini kampeni ya single mothers ni kubwa kiasi hichi, iko hivo single mothers karibia wote Wana thamini sana watoto wao kuliko chochote ukiweza tu kumuwin watoto wake unajihakikishia taa ya kijani kwa mama yao hiyo ndio nature yao huwezi kubadilisha na akishazaa majukumu yanaongezeka kwake so lazima atahitaji mwanaume wakubeba majukumu ya kusomesha watoto wake so ukishindwa hapa au mzazi mwenza akajirudi na akakuzidi kwenye kuhudumia tayari hapo utakuwa umepoteza pambano haijalishi ulifanya mangapi hapo kabla yaani bond yake na mzazi mwenza huwezi kuivunja labda watoto wafe. Hapo ndipo changamoto na kudate na single mother inapokuja na wote waliodate na single mother lazima wakutane na hii changamoto so hapo inakuwa sio suala la tabia tena ni nature ndio inaingia ndio maana linakuwa ni janga la kitaifa angalau single mother ambao kiuchumi wapo vizuri wale ndio hawana matatizo makubwa hawa angalau ninaweza kushauri wadate nao sio hawa wanaojitafuta ni majanga.
 
Duhh! Basi vijana mna hatari kubwa aisee! Poleni sana..
 
Kama una mtoto au mdogo unaweza kuruhusu amuoe single mother? ikiwa yeye Hana mtoto nijibu kwa ukweli wako bila kupepesa Mungu wako anakuona
Why not!? yan watu wapendane huko mie niwakatalie kisa malaika asiyekua na hatia, nyinyi ndio mnaowatesa hadi yatima kisa hamjawazaa nyie, watoto ni baraka
 
Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati.

Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
Wanapresha ya ndoa ndipo hapo wahuni wanapopata nafasi na wakiwa na hela Mario nao wanaingia kwa gia ya ndoa.
 
Huu ni ushauri wa kuwapatia wanafunzi huko mashuleni; Ila ukija kwenye maisha halisi huku mtaani mambo ni tofauti kabisa.. mfano: kama nina miaka 40 ni date wa umri gani?
Kwanza wanawake wa kuanzia miaka 30 hivi wengi ndio wapo tayari kuolewa na kutulia
Hao watoto wengine wana muda mwingi wa majaribio (try and error)
Binafsi nawaelewa sana wa umri huo ....
Kamari hii, mtu anamsululu wa maex,mwendo wa kupasha viporo. Binti mdogo rahisi kumshape, ila 30+ ngumu sana. Ushajiuliza why siku hizi, idadi ya wanawake wanao chepuka ni kubwa kuliko ya wanaume?
 
Back
Top Bottom