min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
HaswaaaMsipo kubaliana mnatafuta chaka jingine.
HaswaaaMsipo kubaliana mnatafuta chaka jingine.
Dr. Mariposa halielewi hili angekuwa ni mwanaume angeona tunayokutana na matukio ya single mother huwa atuwaonei Wala kuwa na chuki nao ila matendo yao wanafanya watu wawaongelee sana wewe pata picha jitu limemtekereza huko na mimba yake wewe umelea na mpaka anazaa na matunzo ya mtoto unagharamia alafu from no where lizazi mwenza linatoka huko linakuja Tena alafu mtu wako anaanza kutoa utamu kwa mtu ambaye aliyemuacha kwa mpenzi yake mwenyewe vaa viatu vyangu au Mimi ningekuwa ni ndugu yako ungefanyaje? Na bahati mbaya haya matatizo ya namna hii hayajanikuta Mimi pekee vijana wengi wamekutana na hii changamoto ndio maana imekuwa ajenda kubwa.Sisi wanaume tupo kwenye field ndio tunajua Hali halisi ikojeDuhh! Basi vijana mna hatari kubwa aisee! Poleni sana
Mhhh reality wazazi wengi hawapendi kijana wao are single mother, hata single mother hataki kaka yake aoe single mother, tena nyie mawifi nyinyi mnamidomo. Wanaume wengi wanao oa single mother huwaga wanaforce sana vita huanzia kwa wazazi mpaka mawifi na wapo wengine hufikia kutengwa, hii ndio reality ya kitaa.Why not!? yan watu wapendane huko mie niwakatalie kisa malaika asiyekua na hatia, nyinyi ndio mnaowatesa hadi yatima kisa hamjawazaa nyie, watoto ni baraka
Dahh.. am speechless kwakweli!poleni kwa hayo yote ila Huyu mtafuta ajira ameoa bikra wala hajakumbana na hilo kundi ila chuki kubwa aliyonayoa haielezeki! Wafuata mikumbo kama wote..Dr. Mariposa halielewi hili angekuwa ni mwanaume angeona tunayokutana na matukio ya single mother huwa atuwaonei Wala kuwa na chuki nao ila matendo yao wanafanya watu wawaongelee sana wewe pata picha jitu limemtekereza huko na mimba yake wewe umelea na mpaka anazaa na matunzo ya mtoto unagharamia alafu from no where lizazi mwenza linatoka huko linakuja Tena alafu mtu wako anaanza kutoa utamu kwa mtu ambaye aliyemuacha kwa mpenzi yake mwenyewe vaa viatu vyangu au Mimi ningekuwa ni ndugu yako ungefanyaje? Na bahati mbaya haya matatizo ya namna hii hayajanikuta Mimi pekee vijana wengi wamekutana na hii changamoto ndio maana imekuwa ajenda kubwa.Sisi wanaume tupo kwenye field ndio tunajua Hali halisi ikoje
Kisa chako kimoja hakikufanyi utukane jamii nzima ya single moms,Dr. Mariposa halielewi hili angekuwa ni mwanaume angeona tunayokutana na matukio ya single mother huwa atuwaonei Wala kuwa na chuki nao ila matendo yao wanafanya watu wawaongelee sana wewe pata picha jitu limemtekereza huko na mimba yake wewe umelea na mpaka anazaa na matunzo ya mtoto unagharamia alafu from no where lizazi mwenza linatoka huko linakuja Tena alafu mtu wako anaanza kutoa utamu kwa mtu ambaye aliyemuacha kwa mpenzi yake mwenyewe vaa viatu vyangu au Mimi ningekuwa ni ndugu yako ungefanyaje? Na bahati mbaya haya matatizo ya namna hii hayajanikuta Mimi pekee vijana wengi wamekutana na hii changamoto ndio maana imekuwa ajenda kubwa.Sisi wanaume tupo kwenye field ndio tunajua Hali halisi ikoje
Kuna wengine wanapata story kwa watu wao wakaribu hivi pata picha hii story yangu nikamuhadithia kijana ambaye bado hajatoka na single mother unafikiri angepata hisia za namna gani?Dahh.. am speechless kwakweli!poleni kwa hayo yote ila Huyu mtoa mada ameoa bikra wala hajakumbana na hilo kundi ila chuki kubwa aliyonayoa haielezeki! Wafuata mikumbo kama wote..
Ebu nenda kwa wote waliowahi kudate na single mother nenda kawaulize utakutana na kisa Kama changu sisi wanaume tuna vikao vyetu tunavyojadiliana kwahiyo tunajuana wewe jiulize kwanini wao ni waanga sana kuliko kundi lolote? Ukilijua hili usingetoa hoja ya namna hiyoKisa chako kimoja hakikufanyi utukane jamii nzima ya single moms,
kuna waliosomesha wachumba vyuo wakaja kuolewa na wachumba wengine,
Kuna wanawake walivumilia shida kwa boyfriends zao walivyojipata waliachwa kama takataka,
Matukio ni mengi na yanaenda sambamba, ukipigwa tukio unasimama unafuta vumbi unasonga mbele usiishi kwa makasiriko.
Kila mtu ana namna anavyoumizwa kwenye mapenzi haijalishu na nani! Sema tu mnaokumbana na hiloKuna wengine wanapata story kwa watu wao wakaribu hivi pata picha hii story yangu nikamuhadithia kijana ambaye bado hajatoka na single mother unafikiri angepata hisia za namna gani?
Shida ya single maza ni nini?Ebu nenda kwa wote waliowahi kudate na single mother nenda kawaulize utakutana na kisa Kama changu sisi wanaume tuna vikao vyetu tunavyojadiliana kwahiyo tunajuana wewe jiulize kwanini wao ni waanga sana kuliko kundi lolote? Ukilijua hili usingetoa hoja ya namna hiyo
Hilo kundi ni wengi kwasababu moja ndio huwa warahisi kuwapata tofauti na hawa wa 2000 lazima usote kidogo na pia ni watamu mnoKila mtu ana namna anavyoumizwa kwenye mapenzi haijalishu na nani! Sema tu mnaokumbana na hilo
Kundi sijui ndio mmekuwa wengi sijui ndio trend ata sielewi!
Kuwa na bond na mzazi mwenzaShida ya single maza ni nini?
Unaweza kuelezea bond kivipi?Kuwa na bond na mzazi mwenza
Wanarudiana na baby dadies mambo yakiwa magumu😅Shida ya single maza ni nini?
😆😆 sasa jamaa mbona unakimbia utamu?Hilo kundi ni wengi kwasababu moja ndio huwa warahisi kuwapata tofauti na hawa wa 2000 lazima usote kidogo na pia ni watamu mno
Yani hiki kitu huwa sikiamini eti😃 au mi nna marafiki mabandiduKuwa na bond na mzazi mwenza
Kwani wee ulikuwa hujui??? Hao unafira unapita hivi maana ukisema utombe, tyari k zao zilishaga tanuka kama fuko la ramboOgopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati.
Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
Wanarudiana na baby dadies mambo yakiwa magumu😅Unaweza kuelezea bond kivipi?
Niwepesi kurudiana na mzazi mwenza bila kujali umejitoa kiasi gani kwake wakati wewe upo nae kwenye mahusianoUnaweza kuelezea bond kivipi?
Wewe ukijua utamu unaopata anapewa mtu mwingine unafanyaje😆😆 sasa jamaa mbona unakimbia utamu?
Unakimbia..Wewe ukijua utamu unaopata anapewa mtu mwingine unafanyaje