Wanajali zaidi watoto waoOgopa kuanzisha mausiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati
Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
Elezeawana roho mbaya sana
Yaani wanajali zaidi watoto wao,kama ana mzazi anamlea basi na mzazi atajaliwa zaidi, yaani wewe ni daraja tuna wanawajaza sumu kote kwa baba mzazi na mlezi
Hilo ni kweli, baada ya kusoma hili bandiko nimevuta picha ya jamii zetu, haipingiki hiyo, hawanaga mapenz hao wanalenga manufaa yao, kukumaliza au kukugeuka ili wawe na kitu ni kugusa tu, hafkrii mara mbili.We kuna jambo limekukuta sio siri, una ufala mwingi sana
Natafuta AjiraNamna ipo ni kuwaepuka tu.
Hahaha ongeza na hii usioe mwanamke asiekua Bikra.. hapo lazima uchokeHuko mbeleni tutakuja kuwa na wanaume dhaifu sana na waoga kwa hizi kampeni za kipuuzi zinazoendelea mtandaoni. Kwa mfano;
1. Usioe mwaname mwenye miaka 30+
2. Usioe single mother
3. Usile wanga
4. Kula mara moja kwa siku
5. Usipeleke mtoto advance
Si mjiumbie tu hao mnaowataka 😅Hahaha ongeza na hii usioe mwanamke asiekua Bikra.. hapo lazima uchoke
Nifikirie nini sasa? Unafikiri wanaume wote wana pesa za kuwashtua hao single maza? Wengine mnaonewa huruma lakini mnajipa umuhimu mpaka mnaanzisha nyuzi za kifalaHilo ni kweli, baada ya kusoma hili bandiko nimevuta picha ya jamii zetu, haipingiki hiyo, hawanaga mapenz hao wanalenga manufaa yao, kukumaliza au kukugeuka ili wawe na kitu ni kugusa tu, hafkrii mara mbili.
Waoga kila kitu ila kampeni za kupita na mashoga hatuzioni, mbona hawaogopi nyoka?Huko mbeleni tutakuja kuwa na wanaume dhaifu sana na waoga kwa hizi kampeni za kipuuzi zinazoendelea mtandaoni. Kwa mfano;
1. Usioe mwaname mwenye miaka 30+
2. Usioe single mother
3. Usile wanga
4. Kula mara moja kwa siku
5. Usipeleke mtoto advance
Jipigieni kampeni huko kwenu pia kabla hamjaanza kushindana na wanawake huko vibarazaniHdahaha ongeza na hii usioe mwanamke asiekua Bikra.. hapo lazima uchoke