Tumefika hapa kwasababu tunadhani tuna akili sana kuzidi Nyerere.Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Tumefika hapa kwasababu tunadhani tuna akili sana kuzidi Nyerere.
Alifuta Machief, sisi tuko busy na siasa na Machief.
Aliheshimu kura, susi tunataka shortcut za kuengua watu.
Aliivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watuTumefika hapa kwasababu tunadhani tuna akili sana kuzidi Nyerere.
Alifuta Machief, sisi tuko busy na siasa na Machief.
Aliheshimu kura, susi tunataka shortcut za kuengua watu.
Nani amesema Nyerere hana makosa?Kwani Nyerere hana Makosa?
Mwaka gani huo?Aliivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu
Wengi wana akili finyuKtk Africa sijaona rais aliye hai au aliyekufa ambaye alikuwa na Nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo wenzake wakati yeye akibakia vilevile akiridhika na vichache alivyonavyo.
Yeyite anayemponda Nyerere au atakayekuja kumponda Nyerere kwa makosa mengi ambayo ni irrelevant ni mvivu wa kufikiri au ni opportunist ambaye anaamini akifanya hivyo itamsaidia kwa mazingira yake ya kipato kama baadhi ya watu ktk huu uzi
Nani amesema Nyerere hana makosa?
Nyerere kukosea ni kawaida, kwasababu alikuwa kwenye TRIAL and ERROR.
Sasa hivi watu wanakosea kwasababu wana akili finyu.
Daaaa naona sasa akili nimeanza kurudi pahala pale,nakupongeza kwa hiliNyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Ordinary people wanadhani Nyerere alikua ni kiongozi wa kawaida... Na wanadhani ile HEKIMA aliokuwanayo ni akili tu/ujanja ujanja tu.
Kiufupi sana Nyerere alikua na uwezo wa kiulimwengu/kiroho...
Alikuwa na utashi wa kinabii kama walivyo mitume wengine...
Alikua anaona mambo (maono, uvuvio, ufunio nk) na si kwamba alikuwa na vyanzo vya taarifa ambavyo wengine walikua hawana...
Kuna watu wanajidanganya kwamba Mw.JK. Nyerere alikua ana TeleVision pekeyake nchi nzima hivyo alikua anatizama matukio kisha anawasimulia kua ameona moja mbili tatu...
Ukweli ni kwamba alikua anaona mambo/maono kweli na sio kutumia TV.
SASA KAMA KUNA UTARATIBU AU MTAZAMO WAKE ALIUWEKA HASA KATIKA KUONGOZA NA KUENDESHA NCHI HATUNA BUDI KUUTILIA MAANANI KINYUME NA HAPO TUMEKWISHA...
KWANINI? KWASABU NI MUONGOZO KUTOKA KATIKA ULIMWENGU WENYEWE/CHANZO/ SOURCE.
Wanaotaka kujenga uwanja wa Ndege Mbugani, hawana hoja.Umejibu vizuri.
Mtoa mada hajaeleza kwa hoja kwa nini watu waliohai wasijenge Kiwanja cha ndege Serengeti kisa aliyekufa hakufanya hivyo.
Kwamba hoja yake ni jambo ambalo halikufanywa na Nyerere lisifanywe?
Hii hoja inamapungufu Makubwa
Ktk Africa sijaona rais aliye hai au aliyekufa ambaye alikuwa na Nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo wenzake wakati yeye akibakia vilevile akiridhika na vichache alivyonavyo.
Yeyite anayemponda Nyerere au atakayekuja kumponda Nyerere kwa makosa mengi ambayo ni irrelevant ni mvivu wa kufikiri au ni opportunist ambaye anaamini akifanya hivyo itamsaidia kwa mazingira yake ya kipato kama baadhi ya watu ktk huu uzi
Wanaotaka kujenga uwanja wa Ndege Mbugani, hawana hoja.
Na kibaya zaidi nimefuatilia, hawana pesa wanataka kupora pesa PSSSF, NSSF za wastaafu.
Waboreshe uwanja wa ndege wa Mwanza na barabara
Una akili timamu?Kwa hiyo hoja sio Nyerere?
1964Mwaka gani huo?