Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Dp world vileWakati Baba anahudumiwa, aliambiwa atarejesha Tsh. 13, 600/= kwa wiki.
Lakini Baba ametumiwa mkataba kwa njia ya mtandao, alipoufungua amekuta amesainiwa fomu yenye makato ya Tsh.14,300/= kwa wiki, tofauti na aliyofahamishwa, na mkataba haubadilishiki. Imekula kwa Baba.
Watakukamata tu mkuu kuna mambo ya loan reference BOT wanayo ukitaka kukopa tena sehemu yoyote mfumo utakukamata na kukudai na utakuta deni kubwa zaidiMwaka 2020 mwishoni nilikopa Pesa CRDB ml.36 ambapo dhamana ilikuwa Mshahara wangu ofisini(ilikuwa nilipe kwa miaka 5).Baada ya miezi 11 tangu nikope nikiwa nakatwa rejesho kutoka kwenye Mshahara wangu,Kampuni ikanipunguza kazi mimi pamoja na wenzangu kama 200. CRDB wakaanza kunipigia kuuliza rejesho nikawa nawatukana mpaka wakakoma,wakatafuta Kampuni ya kukusanya madeni,nao wamenipigia kama mara tatu nawaporomoshea matusi naona wameona maji marefu wameacha kunipigia sitakagi ujinga. Maana niliwauliza wakati nakopa niliweka nyumba yangu au kiwanja au gari langu kama dhamana jibu wakaniambia HAPANA,wakasema dhamana yako ilikuwa Mshahara wako,nikawajibu sasa kama dhamana yangu ilikuwa Mshahara wafuateni ofisini waulizeni kwa nini walinidhamini nikope halafu baada ya miezi 9 wakanipunguza kazini,wanategemea nilipe deni kwa matako??mpaka leo wapo kimya, Kadi ya Bank ya CRDB nikishaichoma na moto
Hata dunia ya jana na hii dunia ya leo kila mtu ana sababu zake ambazo huwa si sababu kwa mwingine
Upo sawa. Mkopo una insurance na kazi ya insurance ni ku cover kwa case kama yako.Mwaka 2020 mwishoni nilikopa Pesa CRDB ml.36 ambapo dhamana ilikuwa Mshahara wangu ofisini(ilikuwa nilipe kwa miaka 5).Baada ya miezi 11 tangu nikope nikiwa nakatwa rejesho kutoka kwenye Mshahara wangu,Kampuni ikanipunguza kazi mimi pamoja na wenzangu kama 200. CRDB wakaanza kunipigia kuuliza rejesho nikawa nawatukana mpaka wakakoma,wakatafuta Kampuni ya kukusanya madeni,nao wamenipigia kama mara tatu nawaporomoshea matusi naona wameona maji marefu wameacha kunipigia sitakagi ujinga. Maana niliwauliza wakati nakopa niliweka nyumba yangu au kiwanja au gari langu kama dhamana jibu wakaniambia HAPANA,wakasema dhamana yako ilikuwa Mshahara wako,nikawajibu sasa kama dhamana yangu ilikuwa Mshahara wafuateni ofisini waulizeni kwa nini walinidhamini nikope halafu baada ya miezi 9 wakanipunguza kazini,wanategemea nilipe deni kwa matako??mpaka leo wapo kimya, Kadi ya Bank ya CRDB nikishaichoma na moto
Mkopo ulikua hauna bima?Mwaka 2020 mwishoni nilikopa Pesa CRDB ml.36 ambapo dhamana ilikuwa Mshahara wangu ofisini(ilikuwa nilipe kwa miaka 5).Baada ya miezi 11 tangu nikope nikiwa nakatwa rejesho kutoka kwenye Mshahara wangu,Kampuni ikanipunguza kazi mimi pamoja na wenzangu kama 200. CRDB wakaanza kunipigia kuuliza rejesho nikawa nawatukana mpaka wakakoma,wakatafuta Kampuni ya kukusanya madeni,nao wamenipigia kama mara tatu nawaporomoshea matusi naona wameona maji marefu wameacha kunipigia sitakagi ujinga. Maana niliwauliza wakati nakopa niliweka nyumba yangu au kiwanja au gari langu kama dhamana jibu wakaniambia HAPANA,wakasema dhamana yako ilikuwa Mshahara wako,nikawajibu sasa kama dhamana yangu ilikuwa Mshahara wafuateni ofisini waulizeni kwa nini walinidhamini nikope halafu baada ya miezi 9 wakanipunguza kazini,wanategemea nilipe deni kwa matako??mpaka leo wapo kimya, Kadi ya Bank ya CRDB nikishaichoma na moto
Hapa nafikiri kuna loans insurance ambae anapaswa kulipa deni ikiwa mtumishi ataachishwa kazi.Watakukamata tu mkuu kuna mambo ya loan reference BOT wanayo ukitaka kukopa tena sehemu yoyote mfumo utakukamata na kukudai na utakuta deni kubwa zaidi
Kwa kiasi kile alicho kitaja, hakuna bank inaweza ikatoa mkopo kwa dhamana ya mshahara bila kukata bima.Mkopo ulikua hauna bima?
BIMA ililipa miezi 6 tu,baada ya hapo Bank wakaanza kunitafuta nilipe ml.29 nikaishia kuwatukana tuMkopo ulikua hauna bima?
Lakini hizo bima za mikopo huwa zina specification zake mfano bima itakava ukipata ulemavu labda pia iwe imeanishe itakava kupoteza ajiraKwa kiasi kile alicho kiraja, hakuna bank inaweza ikatoa mkopo kwa dhamana ya mshahara bila kukata bima.
Nimeshakopa NMB Bank mwaka huu nikapata mkopo wangu safiWatakukamata tu mkuu kuna mambo ya loan reference BOT wanayo ukitaka kukopa tena sehemu yoyote mfumo utakukamata na kukudai na utakuta deni kubwa zaidi
Kivipi mkuuBIMA ililipa miezi 6 tu,baada ya hapo Bank wakaanza kunitafuta nilipe ml.29 nikaishia kuwatukana tu
Hakuna haja ya kuwatukana au kujibishana nao! Wakikupigia ukajua ni wao wapotezee!BIMA ililipa miezi 6 tu,baada ya hapo Bank wakaanza kunitafuta nilipe ml.29 nikaishia kuwatukana tu