Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Hapo sawaNimeshakopa NMB Bank mwaka huu nikapata mkopo wangu safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawaNimeshakopa NMB Bank mwaka huu nikapata mkopo wangu safi
Hapo sawa, ni lazima kujiweka safeside lasivyo baadae kupata mikopo inakua shuhuliBaada ya kuwa Terminated wote wenye mikopo tuliitwa Bank kwenye branch tulikokopea,tukajaza Fomu zikiwemo hizo za BIMA,na wakatuambia BIMA itatulipia miezi 6 tu kisha baada ya hapo tuanze kufanya marejesho,na ndivyo ilivyokuwa
Nyingi lazima zianze na (ikiwa utapoteza ajira) kwasababu hiyo ajira ndio dhamana kuu.Lakini hizo bima za mikopo huwa zina specification zake mfano bima itakava ukipata ulemavu labda pia iwe imeanishe itakava kupoteza ajira
Ipo vizuriNyingi lazima zianze na (ikiwa utapoteza ajira) kwasababu hiyo ajira ndio dhamana kuu.
Hizi ajali, kifo na mengineyo hua ni mbwembwe tu mkuu
Ngoja tukope ukafanye upasuaji wa shape uwe tinginyaPoleni
Hiv insurance huwa inasimama kama utafukuzwa kazi au utakufa?Hapa nafikiri kuna loans insurance ambae anapaswa kulipa deni ikiwa mtumishi ataachishwa kazi.
Bima inasimamia show ikiwa utafukuzwa kazi ama kufariki, kuna sehem niliona pia kama utapata ajali ukiwa kazini.Hiv insurance huwa inasimama kama utafukuzwa kazi au utakufa?