Ogopa Mkopo wa simu Airtel ikishirikiana na Watu Credit, wamsababishia baba shida

Watakukamata tu mkuu kuna mambo ya loan reference BOT wanayo ukitaka kukopa tena sehemu yoyote mfumo utakukamata na kukudai na utakuta deni kubwa zaidi
 
Upo sawa. Mkopo una insurance na kazi ya insurance ni ku cover kwa case kama yako.
 
Mkopo ulikua hauna bima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…