Ogopa Mkopo wa simu Airtel ikishirikiana na Watu Credit, wamsababishia baba shida

Baada ya kuwa Terminated wote wenye mikopo tuliitwa Bank kwenye branch tulikokopea,tukajaza Fomu zikiwemo hizo za BIMA,na wakatuambia BIMA itatulipia miezi 6 tu kisha baada ya hapo tuanze kufanya marejesho,na ndivyo ilivyokuwa
Hapo sawa, ni lazima kujiweka safeside lasivyo baadae kupata mikopo inakua shuhuli
 
Wewe kama ni ke na pis, si ufanye one night stand ya 50k umlipie mzee kwa mwezi mmoja
 
Hiv insurance huwa inasimama kama utafukuzwa kazi au utakufa?
Bima inasimamia show ikiwa utafukuzwa kazi ama kufariki, kuna sehem niliona pia kama utapata ajali ukiwa kazini.
Lakini kwa kuacha kazi hua linabadilika na kua deni sugu ambapo hupeleke mdaiwa kuingizwa kwenye record ya BOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…