Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

Mwanamke anayeona upendo hauwezi kuwepo bila pesa huyo ni danga tu hawa mara nyingi huwa hawaolewi ni wakitumika tu
Kuna wanaume wanaona kawaida , wanaoa kabisa alafu moto ukiwaka wanalialia.
 
Ndugu wanawake wote, mwanaume anaekupenda na kukuthamini hataacha kukuhudumia sawa sawa na uwezo wake.
Kama hafanyi hivyo kimbia huyo ni tapeli
Upendo unapimwa na miamala au sio? acha kuhalalisha ukahaba dada.
 
Kashindwa kutunzwa na kuhudumiwa na wazazi wake wampe maisha bora ndo nitaweza mimi!!!!! Hapana aisee afanye kazi ili ajitunze
 
Upendo unapimwa na miamala au sio? acha kuhalalisha ukahaba dada.
Nimegundua wewe ni hamnazo. Ngoja nikuache na wenzio muendelee kujazana ujinga
 
No money no honey.

UnAkumbuka huu msemo?

Uliyoandika ni sahihi kabisa but does not help.

Siku hizi wanasema tafuta pesa uache kujieleza sana
 
Kama huna hela kama mimi kaa kando waache wenye nazo wapite mikono mitupu hailambwi
 
1. kwa upande wa wanawake tatizo siyo kuomba pesa bali kugeuza mahusiano kama ajira ingawa si wote.

jukumu la wanaume:
a. kujua hali ya kiuchumi ya mwanamke unayemtaka itasaidia kujua kama vizinga ni kausha damu au halisia.

b. kuijua tabia halisi ya mwanamke unayemtaka kama 'slay queen' au 'wife material'.

c. ukijua a na b hapo juu ni uamuzi wako kusuka au kunyoa.


2. kwa wanaume kutokuwa na pesa nyingi si tatizo ila shida ni kushindwa kujiongeza hata kwa masuala yaliyo ndani ya uwezo wake.

jukumu la wanawake:
a. kujua hali ya kiuchumi ya mwanaume anayekutaka itakusaidia kujua ataweza kukuhudumia au vinginevyo.

b. kujua mwanaume anayekutaka ni wa 'hit and run basis' au wa 'here to stay basis'.

ushauri kwa jinsia zote:
1. kauli za wanawake 'omba omba' hazina maana kama utayazingatia hayo hapo juu ingawa si sheria.

2. kauli za 'tafuta hela' hazina mashiko kwa kuwa watu wanazidiana vipato mfano mhudumu wa ofisi kwenye halmashuri hawezi lingana kipato na mhudumu wa ofisi ya bunge, lakini tukizingatia hayo hapo juu tutakuwa kwenye nafasi ya kujikuna pale tumapoweza.

3. pia kwa zipo 'coincidence za watu kuwa:
-wanajali mapenzi ya kweli kuliko kipato
-wako tayari wapambane kutafuta maisha kutokea chini ili asimpoteze ampendaye.
 
Mleta mada kama unaona shida kutoa pesa zako kwa mkeo solution ni kupiga nyeto.
Yanini stress aisee jombaa!!
 
Uhudumie usihudumie, ukubali ukatae, hakuna mwanamke asiyetoka nje ya ndoa, kikubwa ni kuvumiliana kama ambavyo, hakuna mwanaume asiyetoka nje ya ndoa.
 
Kumbe dawa yao ni ndalama ili wajitume kitandani
 
Uhudumie usihudumie, ukubali ukatae, hakuna mwanamke asiyetoka nje ya ndoa.
Huu sasa ndio ukweli wenyewe. Kuchapiwa kupo pale pale. Wanawake wanapenda kutombaner hawa acha tuu. Ila sasa wanavyojifanya malaika...
 
Unajielewa👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…