Ogopa mwanamke anayevaa dera

Ogopa mwanamke anayevaa dera

Narudia tena wanaume wenzangu ogopeni mwanamke anayevaa dera tena la cotton.
 
magwanda ya chadema huwa nawaogopa sana wanapenda pesa sana
 
Huu ni ushauri wangu kwenu wakulungwa wenzangu. Mwanaume mwenzangu ogopa sana mwanamke anayevaa dera tena mchana. Utakuja kunikumbuka.
Ki vipi, mbona sipati mantiki ya hoja yako?
 
hatari sana, ndo ukute kanavaaga tule tusimpo twa manyoanyoa aloo utakubali tu!
 
Back
Top Bottom