Ogopa mwanamke anayevaa dera

Ogopa mwanamke anayevaa dera

Huu ni ushauri wangu kwenu wakulungwa wenzangu. Mwanaume mwenzangu ogopa sana mwanamke anayevaa dera tena mchana. Utakuja kunikumbuka.
Hivi kila nguo ina tabia maalum?
Akikosea mwenye kanzu...unataka tuwaepuke wenye kanzu wote?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hebu rekebisha kauli yako Visichana havipendagi madira ila mwanamke ambao mama zetu wanapenda sana kuvaa madira kwahiyo unataka tuwaogope mama zetuu.
 
Mkuu hebu rekebisha kauli yako Visichana havipendagi madira ila mwanamke ambao mama zetu wanapenda sana kuvaa madira kwahiyo unataka tuwaogope mama zetuu.
Wasagula, vigodoro uvaa mbona
 
download.jpg
 
Mkuu ongezea dera na pia kipini kwenye pua..weka mbali na watoto..hio kitu...😂😂😂
 
Back
Top Bottom