Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

Kuelewa kugumu, ushavua sasa taulo la nini? Hivi mnaelewa vizuri walimu wenu walikua na kazi sana, mleta mada ana point ya maana ukivua vua usivae kingine sasa unavua taiti unavaa taulo nini hiki?

Legeza ubongo boss, Mleta mada anasema,

"Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa."

Huyu anayevaa taulo anaitwa mzoefu na unaambiwa muogope, Sasa huyo unayemsema wewe asiyevaa hata taulo ni Legend, mkongwe.
 
Back
Top Bottom