Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

Aisee Midekoo ataniua sio mchezo mwanamke anajua kuspot wanawake wazuri...itabi siku nikutane nae anichagulie mrembo maana anazinua taste zangu.

Warembo kwisha niua kitamboooo imebaki kuzikwa tuu🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
 
Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa.

Kama huna kondomu aihirisha kupiga.

Muombe samahani kila mtu ale kona.

Ulienda naye Guest kufanya nini? Si mngeenda nyumba ya ibada mjue moja? hayo mambo ya kumtega mpaka shetani ni mambo magumu sana
 
We sema umelala guest na pengine umepigwa na kitu kizito. Kama hujanyimwa,umekimbiwa.
Huwezi ukaamakia mada ya ngono asubuhi hivo. Wengine wanajiandaa kwenda kutafuta,wewe unalalamikia mashimo yasiyofukika.
 
Acha uongo. Mwanamke anatakiwa achezewechezewe, ajifanye mgumu huku anataka alafu unamvua taratibu, chupi ndio unakuja kuvua kwa nguvu kama ugomvi
yaani amekubali kuingia guest alafu ajifanye mgumu?zama hizihizi za marejesho na vicoba au uko dunia yako😂😂
 
Kuna ile anaingia washroom, akitoka amepiga mtandio wake laini na chupi yake. Hata kama huna nguvu za kiume lazima zije....manake amekuachia jukumu lako la kuvua chupi, its a massive turn on kwa mwanaume yoyote duniani.
 
Back
Top Bottom