MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kwani huko umempeleka kufanya nini? Kuwa na shukrani kwa kukutana na mtu anayejua wajibu wake.Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa.
Kama huna kondomu aihirisha kupiga.
Muombe samahani kila mtu ale kona.