Unadhani kinachoendelea Urusi ni Communism; hizi ni slogans capitalists, communists, socialists ambazo mfumo mmoja au mwingine hutumika kuwapiga panga wengine.....; lakini duniani kuna mixed economies (hizo nyingine zipo on paper)
Lakini tatizo kubwa na la kweli lipo linaloandama dunia ya sasa na litakaloitafuna dunia kama hatutapata sustainable system - Ukweli ni kwamba status quo na capitalism as we currently know it can not survive hii automation and technological advancements, sababu hakuna trickle down, hapo kale angekuja mtu na kiwanda chake akaweza kuajiri watu wengi waweze kufanya kazi hivyo kupata ujira na basic needs; sasa hivi manpower is not needed anymore (mtu mmoja anaweza kulisha nchi nzima, kwa kutumia machinery) kunakosababisha watu kukosa ujira na ugopa sana watu wasio na cha kupoteza, na hawa watu wanazidi siku baada ya siku (Gap in Classes zinazidi kuongezeka) na Extreme Poverty anywhere is a threat to human Security everywhere - Kofi Annan