Ogopa sana hili jambo kwenye Daladala

Teh teh 😃 😃 acha uoga bhana...
 
Sasa umeandika nini hiki??
Na chenji utakayopewa na konda inabidi uichape maombi papo hapo sio??
 
Mi nina gari. Naruhusiwa kutoa ushauri?
 
Hamna kitu kama hiko,ni sawa sawa na wale wanaosema usitoe chenchi asubuhi asubuhi,sasa kama watu wote mtaani wakiwa na mtizamo kama huu,hamuoni kwamba mnateseka nyie wenyewe,mtu akiomba kitu ambacho unacho mpe,wewe unapewa marq ngapi?
 

Nimesoma comment zote. Ahsanteni sana
 
Nimesoma comment zote. Ahsanteni sana
Mimi ninaomba niwe pembeni kidogo na wanaoona wako juu ya uchawi ulozi ushirikina. Ninachojua njia Moja wapo ya kumloga mtu ni kumfanya ajione halogeki na yuko juu ya wachawi na wanaologeka au kuwangiwa ni masikini, wajinga, wavivu nk. Mchawi ni zaid ya profesa wa psychology mana ukiongelea misimamo yako anasapoti then anaenda kuharibu anavyojua then anakuuliza imekuwaje utatoa sababu za kisayansi au za kawaida tu akitoka hapo anaenda Cheka mpk anazimia.

Solution ya hiyo shd ya chumaulete inakuja soon Dunia nzima. Ni Cashless economy nadhani mlisikia hata Kwenye Bungee la katiba juzi. Huko ndo Dunia iendako. Then tutaona kama wanaweza kuchuma Kwenye credit cards. 😊😊
Nimesoma comment zote. Ahsanteni sana
 
unamaanisha chuma ulete?
 
Ni kweli, inaitwa chuma ulete.

Kuna baadhi ya watu humu wanapinga kwamba haya mambo hayapo kumbe ndio vigagula wenyewe, wanataka kupumbaza watu ili waendelee kuibia watu kichawi.
 
Mjini nako bado kuna matakataka mengi! Hili nalo takataka! Sasa pale mwendokasi uko na elfu 1 anakuja mwenye 750 unaachaje kumwomba akupe hiyo 250?
 
Fafanua zaidi.
Bado hujaeleweka nini unachotaka tujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…