Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Narudia tena ni shughuli ngumu mno kufungua code za timu iliyoamua kupaki.
Ni timu chache sana duniani zinazoweza shughuli hii.
Na hata ukiweza kushinda basi ni kwa margin ya goli moja unless refa awe upande wako.
Wapo makocha ulaya waliwahi kulalamikia mfumo huu ambao hauna umri mrefu katika soka...
Naionea huruma sana Simba kwny mchezo ujao wa mguu wa pili dhidi ya Al masry.
Nafaham fika waarabu watalala gorini dakika 90....
Simaanishi Simba hataShinda, kushinda anaweza kushinda.
Tatizo ni minds za wachezaji kufosi ku-meet matarajio magumu ya washabiki wake..
Ikumbukwe pia timu za arabuni zinadekezwa sana kutoadhibiwa zinapopoteza muda.
Tusishangae mechi ikachezwa dakika 70 tu.
Tukirudi kwenye hoja ukweli unabaki uleule kuifunga timu inayopaki ni shughuli pevu.
Angalia morroco alivyotaabika kuifunga Tanzania...Pamoja na ubora wake wote mbele mashabk wake...
na kama asingepewa penalty angeishia goli moja..
Kupaki ni hatari ogopa sana..
Pep Gadiola hatamsahau morinyo 2011 kama sikosei