Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Hahahah hebu cheki hii mkeo anavyoomba ruhusa ili akajinafasi na mjuba Co-worker ambaye wana crush ili wakalane vizuri!

We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe wameachania Samaki Samaki. Suzy kamuacha mkeo na Alfred huku Suzy naye Kaenda kwa Kelvin amekuwa picked Mlimani kapelekwa kwenye apartment Masaki huko.

Hawa mashosti wakirudi saa 11 home full kulegea yani we umelala unajua wife katoka birthday kwa rafiki yao Millen kumbe katoka kuuza utu Lion Hotel! Unapewa unapiga unalala bila kujua A,B wala C!

Kuweni makini sana na wake zenu wenye mashosti. Theres alot going between huo ushosti! Ni muungano flani wa kufichiana maovu.
 
Duuhh Watu mnauzungu aiseeee, huyo ni Wife ?au demu tu?

Yaan Wife, akuache wewe au wewe na watoto kisa BETHIDEI ? Na arudi 11??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mwanamke huo upuuzi wa mwanamke mwenzangu nisingeweza kuuvumilia kabisa..eti urudi saa kumi na ngapi asubuhi 😀😀 thubutuuu...
 
We ni mdogo kwangu hata usijikuze hapa,,
Mbona niko sana tu, majukumu ya kulea shemejio yanizidia mpenzi,,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jf inafanya tunaonekana wadogo sana🤣🤣🤣safi dada mkubwa👊🏿👊🏿👊🏿

Au Na wewe unapita kimya kimya kama mimi enzi hizo..huyo shemeji yangu ni mtu mzima mwache azurure huko atarudi tu big Sisy 🥰🥰
 
Mwanamke kurudi alfajiri ni kitu ambacho kama mwanaume siwezi kubaliana nacho. Kuna vitu kama hivi nikiona mwanamke anavyo, ni bora akatafute mwanaume atakayekubaliana navyo, maana kwa upande wangu sitaweza kuvumilia.

Kwa upande mwingine pia tuepukane na kudate au kuoa machangudoa. Wanawake decent wapo wengi tu.
 
Mimi ni mwanamke huo upuuzi wa mwanamke mwenzangu nisingeweza kuuvumilia kabisa..eti urudi saa kumi na ngapi asubuhi [emoji3][emoji3] thubutuuu...
hatariiiiii sana ,daahh !!!!... Wakati Fulani nakaa maeneo hivi pale Kinondon, nilipanga nyumba tumo watatu.

Sasa huyo mmoja, aliishi Kijamaa na dem wake akijiita Kim Nana....

Kila siku yaaan kila siku ,kila siku Ndugu yangu, Dem wa kijamaa anatoka SAA nne , anarudi 11 kalewaa kinyama,hoiii ,wenzake wanambeba ,Jamaa anafungua mlango, dem anaingizwa.

Nilikuja gundua, Dem ni muuzaji aliyechangamka, na kwa Bahati mbaya, ndo mlipa Kodi, anamlisha kijamaa, na kukavisha .n.k n.k
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jf inafanya tunaonekana wadogo sana🤣🤣🤣safi dada mkubwa👊🏿👊🏿👊🏿

Au Na wewe unapita kimya kimya kama mimi enzi hizo..huyo shemeji yangu ni mtu mzima mwache azurure huko atarudi tu big Sisy 🥰🥰

Mume km alelewa kama mtoto mdogo wangu, akienda kuzurula akachelewa kurudi yabidi umfate mkifika home namkanya kikubwa nampa msosi akishindwa kuula ndo ntajua alizurulia wapi😜
 
hatariiiiii sana ,daahh !!!!... Wakati Fulani nakaa maeneo hivi pale Kinondon, nilipanga nyumba tumo watatu.

Sasa huyo mmoja, aliishi Kijamaa na dem wake akijiita Kim Nana....

Kila siku yaaan kila siku ,kila siku Ndugu yangu, Dem wa kijamaa anatoka SAA nne , anarudi 11 kalewaa kinyama,hoiii ,wenzake wanambeba ,Jamaa anafungua mlango, dem anaingizwa.

Nilikuja gundua, Dem ni muuzaji aliyechangamka, na kwa Bahati mbaya, ndo mlipa Kodi, anamlisha kijamaa, na kukavisha .n.k n.k
Oyoyooooo....sasa kama mama ndie mtunza familia kuna nini hapo😌😌

Lakini hapana kuna wanawake ni watunza familia pengine hata mumewe hana kazi lakini anaadabu sana Kwa mumewe.

Kuna
Mwanamke - mke & mama
Mwanamke - mwanamke
 
Mara nyingi marafiki wa wake zetu na wapenzi wetu ni wanafiki.
Utaitwa shemeji, shemdarling na majina yote mazuri lakini, nyuma ya pazia wanajua yote anayofanya rafiki yao, na siri zote za mahusiano yenu anayokuwa akiwaambia.
 
Back
Top Bottom