Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mwanaume atavumiliaMwanamke kurudi alfajiri ni kitu ambacho kama mwanaume siwezi kubaliana nacho. Kuna vitu kama hivi nikiona mwanamke anavyo, ni bora akatafute mwanaume atakayekubaliana navyo, maana kwa upande wangu sitaweza kuvumilia.
Kwa upande mwingine pia tuepukane na kudate au kuoa machangudoa. Wanawake decent wapo wengi tu.
Huyo ndio kim nanahatariiiiii sana ,daahh !!!!... Wakati Fulani nakaa maeneo hivi pale Kinondon, nilipanga nyumba tumo watatu.
Sasa huyo mmoja, aliishi Kijamaa na dem wake akijiita Kim Nana....
Kila siku yaaan kila siku ,kila siku Ndugu yangu, Dem wa kijamaa anatoka SAA nne , anarudi 11 kalewaa kinyama,hoiii ,wenzake wanambeba ,Jamaa anafungua mlango, dem anaingizwa.
Nilikuja gundua, Dem ni muuzaji aliyechangamka, na kwa Bahati mbaya, ndo mlipa Kodi, anamlisha kijamaa, na kukavisha .n.k n.k
Atavumilia kugongewa mke kwa kisingizio cha birthday?!Hamna mwanaume atavumilia
Au alikua na Suzy 🤣Kitu kizito kimekudondokea kichwani alfajiri hii..dah pole sana
Huyo mwanaume atakuwa chawa au hana nguvu za kiumeAtavumilia kugongewa mke kwa kisingizio cha birthday?!
Kwa kuwa umesema "mwanaume atavumilia" nadhani pia mwanaume anastahili heshima pia. Na mwanaume anatakiwa kumuongoza mwanamke na siyo kumvumilia. Vilevile Mwanamke kurudi saa 11 ni ishara ya heshima kutokuwepo na kutokujua nafasi yake kama mke ndani ya ndoa. Ni hayo tu mkuu.Huyo mwanaume atakuwa chawa au hana nguvu za kiume
Ungejua Tena wakati wa mume kumwaga kibakuli kinachanuliwa ili uji utulie kwa usahihi chomboni,,Mhm nyie ndio wale wake ambao mnamwambia mume usikojolee ndani, kojoa nje nilione ilo bao lako linauzito gani?
Ungejua Tena wakati wa mume kumwaga kibakuli kinachanuliwa ili uji utulie kwa usahihi chomboni,,
Hata ikiwa vitone mbona vinasikika tu,, haihitaji kuchomoa......Hahaha hizi somjo tuu...lakini kama una suspect huyu jamaa kala mbususu huko nje lazima utataka uone kama anakojoa vitone🤣🤣🤣🤣
Hapo sasa ndio songombingo inaanza
Nyoo...hizi somjo tuu....inavyowaumaga kujua kuwa jamaa kaenda kufuja hela kwa mbususu nyingine mnakuwa wakali. Kinacho waumaga nyie sio kwamba jamaa kala mbususu ila kwamba huyo mrimbwende mwengine kahudumiwa na kupewa mihelaHata ikiwa vitone mbona vinasikika tu,, haihitaji kuchomoa......
Unatumia nguvu hata hujui kanuni yangu ktk mahusiano ilivyo,, isitoshe hii mada haihusiani hapa kafungue uzi wadau wachangie,, siku njemaNyoo...hizi somjo tuu....inavyowaumaga kujua kuwa jamaa kaenda kufuja hela kwa mbususu nyingine mnakuwa wakali. Kinacho waumaga nyie sio kwamba jamaa kala mbususu ila kwamba huyo mrimbwende mwengine kahudumiwa na kupewa mihela
Kanuni ni moja tuu ina apply kwa mwanamke kwenye mahusiano, mwanaue kuwa na mihela basi mengine yote yatavumilikaUnatumia nguvu hata hujui kanuni yangu ktk mahusiano ilivyo,, isitoshe hii mada haihusiani hapa kafungue uzi wadau wachangie,, siku njema
Ni kweli lkn halihusiki ktk mada hiiKanuni ni moja tuu ina apply kwa mwanamke kwenye mahusiano, mwanaue kuwa na mihela basi mengine yote yatavumilika
Unafiki upo kotekoteHatujawazidi wanaume; na tunavyopenda kuitwa "mke wetu/shemela", basi bichwa hilo. Kumbe wenzio wanajua mwenzao anaosha tu rungu kwako
kuwa na mashosti wala sio kuliwa.Hahahah hebu cheki hii mkeo anavyoomba ruhusa ili akajinafasi na mjuba Co-worker ambaye wana crush ili wakalane vizuri!
We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe wameachania Samaki Samaki. Suzy kamuacha mkeo na Alfred huku Suzy naye Kaunda kwa Kelvin amekuwa picked Mlimani kapelekwa kwenye apartment Masaki huko.
Hawa mashosti wakirudi saa 11 home full kulegea yani we umelala unajua wife katoka birthday kwa rafiki yao Millen kumbe katoka kuuza utu Lion Hotel! Unapewa unapiga unalala bila kujua A,B wala C!
Kuweni makini sana na wake zenu wenye mashosti. Theres alot going between huo ushosti! Ni muungano flani wa kufichiana maovu.
kwanza mke wa mtu haliwi usiku kucha.Duuhh Watu mnauzungu aiseeee, huyo ni Wife ? Au demu tu?
Yaan Wife, akuache wewe au wewe na watoto kisa BETHIDEI ? Na arudi 11??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]