Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Mzee Baba umeua sana,Naona umeamua kuweka nathread kabisa
 
First of all as a man lazima uwe mtu wa kuchunguza not everything but unapoingiwa na mashaka chunguza usiache wengi husema utajiumiza kumchunguza mkeo But kwaajili ya afya yako na ukuaji wa watoto its far better.

2. Wanawake wazinzi hawawezi kukupa papuchi the night wametoka kutoa utu kwasababu hata mimi lazima najua the size of that hole and the difference of me sliding In ....sio putwi pa Najua exactly kuna mshenzi alishafungua hii njia Leo.

3. Hivi nyie vijana mbona mwaendekeza ujinga sijui mambo ya birthday sijui Gala party sijui vigodoro na mnawaruhusu wake zenu wa ndoa kwenda kweli naomba niwaulize swali hivi ww kipindi unakua mpka sasa ulishafanyiwa birthday na wazazi wako kama ni kweli basi ni kizazi cha JK ila wakurungwa wazee wa Laizoni sikuwahi huu ujinga ukifanywa hata kwenye familia zenye hela.

NB: kwenye western tradition tusichukue yote mengine tuwaachie...
 
Mwanaume uwe mkali mkali kidogo jamani, hata me nakua najua kabisa nikifanya kitu flan mme wangu atanimeza mzima mzima.. msituachie sana kuna muda bila command hatuendi, unaongea neno moja tu hurudii, sitaki utoke, sitaki utoke no discussion..
 
Mwanaume uwe mkali mkali kidogo jamani, hata me nakua najua kabisa nikifanya kitu flan mme wangu atanimeza mzima mzima.. msituachie sana kuna muda bila command hatuendi, unaongea neno moja tu hurudii, sitaki utoke, sitaki utoke no discussion..
Kwani mnakosaga mbinu nyinyi..?
Hapo ndo mnamlisha limbwata mume Sasa. πŸ˜‚
 
Mbona ata sie wanaume tunafichiana maovu....la msingi ni kutambua hamna mbususu yako weye peke.
 
Mume km alelewa kama mtoto mdogo wangu, akienda kuzurula akachelewa kurudi yabidi umfate mkifika home namkanya kikubwa nampa msosi akishindwa kuula ndo ntajua alizurulia wapi😜
Mhm nyie ndio wale wake ambao mnamwambia mume usikojolee ndani, kojoa nje nilione ilo bao lako linauzito gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…