Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Baby Mama hawezi nambia anaenda kwenye party nikashindwa kumpeleka na kumfata, kwa usalama wake pia, mwanaume unakaaje ndani mkeo anafatwa na shost ake kwenda kwenye party hadi usiku sana na wewe umerelax tu, hapana aisee!

Mawazo mengi sio ya kunicheat (najua mtu akiamua lake hashindwi) ila usalama wake, what if akipata ajali, akiwekewa drugs je, kwenye parties kila mtu huenda na akili zake.

I always take my Woman kwenye parties na always pick her up when she is done ila sio in the morning, lol
We shoga unaweza kuoa kwan??
 
hatariiiiii sana ,daahh !!!!... Wakati Fulani nakaa maeneo hivi pale Kinondon, nilipanga nyumba tumo watatu.

Sasa huyo mmoja, aliishi Kijamaa na dem wake akijiita Kim Nana....

Kila siku yaaan kila siku ,kila siku Ndugu yangu, Dem wa kijamaa anatoka SAA nne , anarudi 11 kalewaa kinyama,hoiii ,wenzake wanambeba ,Jamaa anafungua mlango, dem anaingizwa.

Nilikuja gundua, Dem ni muuzaji aliyechangamka, na kwa Bahati mbaya, ndo mlipa Kodi, anamlisha kijamaa, na kukavisha .n.k n.k
Kwa hiyo alikuwa ni king'asti?
 
to cut the mashosti's chain look for one/two of them and make love with them they will one day give you all the information
 
Mimi naona point ya mleta mada hapo sio hiyo saa kumi na moja asubuhi, ni hayo marafiki/ mashosti. Kwamba ukiwa unamruhusu mkeo kutoka na hao marafiki na ikatokea wakafika huko mbele wakabadilisha mipango, mke ataliwa tu hata akirudi saa tatu au saa nne. Imagine wametoka saa kumi na mbili home badala ya kwenda kwenye birthday ambayo kimsingi haipo akapelekwa Lion Hotel Sinza then akarudishwa na mashosti zake saa mbili usiku. Akiwa ameshaliwa na wewe utaamini kabisa kwamba walienda kukata keki ya rafiki yao, kula, kunywa na kumwimbia happy birthday to you....kumbe katoka kupigwa mashine kisawasawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuta k imevurugwa haswa...
 
Exactly, we ndio umeielewa dhima ya hii topic kabisa ila watu wamekuwa swayed na muda wa mke kurudi![emoji28]

Hakikisha mkeo hana mashosti shosti wake uwe wewe mkuu! Thats how you protect the queen.
Wewe mwenyewe uwe unashostika sasa. Usikute mtu anayeongea hivi muda wote sura ya mbuzi
 
Wewe mwenyewe uwe unashostika sasa. Usikute mtu anayeongea hivi muda wote sura ya mbuzi
Hahahahaha kushostika sio lazma tugongeane mikono! 😅😅😅

Wa mbuzi lazma uhusike usije ukaanza kuomba nikupige deki nyumba na kukukunia nazi!
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] touching yourself
Yes Sweetheart, Touchin my Dick , in fact kwa kuufikiria Uzuri wa Umbo lako. uzuri wa sura yako, huwa naget Hard as rock ,from there najikuta mkono unashuka kwa Boksa naanza kujishika shika m.b..o.
 
Mmmh Kaka Hapana saa 11 umezidisha,si tutakutana na microwave zetu tulizopewa kwenye kitchen party mlangoni🤣
 
Na pia marafiki wa waume zetu Ni majoka....kila demu wa best yake utasikia shemelaaaa
 
Kwanza kabisa kuruhusu mkeo arudi home asubuhi hayo ni matumizi mabaya ya JINSIA…pili simama kama kdume kamua mkeo vzur halafu tafuta hela..najua huwez kuzuia mkeo akitaka kugongwa ila ajue kuwa ukijua tu basi jiko la mkaa litamwagiwa maji..kwan hujawah kula demu la mtu tena dem sio mke ila dem anakwbia kabisa jamaa gaidi akinikuta nimeisha..[emoji3][emoji3]ila unakula mbususu kama kawa
ANGALIZO:ukila mke wa mtu na wako watamla
:mke wa mtu ni sumu
 
Mwanaume uwe mkali mkali kidogo jamani, hata me nakua najua kabisa nikifanya kitu flan mme wangu atanimeza mzima mzima.. msituachie sana kuna muda bila command hatuendi, unaongea neno moja tu hurudii, sitaki utoke, sitaki utoke no discussion..
Dada shikamoo
 
Mimi sherehe za birthday hazijawahi kuniingia akilini sanaa,,,naona ni utamaduni wa hovyo tu na matumizi mabaya ya fedha

Ukiona mkeo anarudi alfajiri na mme anaona sawa,,,,Mme nae anakuwa wa hovyo pia..
 
Back
Top Bottom