Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Nianze kwa salam.
Ninamsomesha mtoto wa dada shule moja ya gharama mjini. Day
Ada ni ndefu kwa kweli, term moja 1.2 m hali ya maisha si njema kwa wengi wetu ni kujinyima tu watoto wapate kilicho bora.
Iko hivi: Shule zinafungwa Juni huko Mhasibu kuvumilia siku 10 nimalizie laki iliyobaki amegoma, 1.1M niliyolipa haoni thamani yake binti kama mie kweli? Karma is real.