Ogopa sana watu, lakini karma is real

Ogopa sana watu, lakini karma is real

Nianze kwa salam.

Ninamsomesha mtoto wa dada shule moja ya gharama mjini. Day

Ada ni ndefu kwa kweli, term moja 1.2 m hali ya maisha si njema kwa wengi wetu ni kujinyima tu watoto wapate kilicho bora.

Iko hivi: Shule zinafungwa Juni huko Mhasibu kuvumilia siku 10 nimalizie laki iliyobaki amegoma, 1.1M niliyolipa haoni thamani yake binti kama mie kweli? Karma is real.
Karma ina apply vipi hapa.

Hakuna cha karma wala karama.

Maliza ada au utafute shule inayoendana na uwezo wako
 
Nianze kwa salam.

Ninamsomesha mtoto wa dada shule moja ya gharama mjini. Day

Ada ni ndefu kwa kweli, term moja 1.2 m hali ya maisha si njema kwa wengi wetu ni kujinyima tu watoto wapate kilicho bora.

Iko hivi: Shule zinafungwa Juni huko Mhasibu kuvumilia siku 10 nimalizie laki iliyobaki amegoma, 1.1M niliyolipa haoni thamani yake binti kama mie kweli? Karma is real.
Wewe so mama watoto wa BM X6?
 
Back
Top Bottom