Ogopa sana watu, lakini karma is real

Ogopa sana watu, lakini karma is real

Karma iko wapi hapo? Hii nchi wajinga wengi sana
 
Mkuu Karma unaijua?
Hajakutenda baya. Anatimiza majukumu yake kama yalivyo masharti ya Mkataba wake. Naye anabanwa. Huenda kapewa siku 14 wanafunzi wote wawe wamelipa ada.

Kakupa siku 10, naamini utaipata laki moja. Shule nyingi hazipokei bila kutimiza hela kamili. Hawataki usumbufu wa kuanza kuwarudisha wanafunzi.
Muhasibu kampa siku kumi atafute laki moja afu bado anaona kaonewa.
Sasa siku kumi ushindwe kutafuta laki moja afu bado unapambana kumsomesha shule hiyo hiyo manake wewe unalazimisha tu Ila uwezo huna.
 
Ongea na muhusika, Mkuu wa hapo shuleni Head master au head mistress , muhasibu anafata tu maelekezo hiyo karma haiwezi mpata karma inampata Mtu aliyekufanyia ubaya na sio Mtu anayetekeleza Majukumu yake ya Kazi Ili mwisho wa mwezi apokee Malipo yake yanayoitwa mshahara.
 
Shule sio yake, hata yeye yupo kazini. Sometime tunaweza saidia watu wengine, ila kumbe tunajiumiza na sisi. Kuruhusu mtoto wako aendelee, maana yake anaenda kinyume na taratibu za shule.

Ikitokea amekusaidia alaf akafukuzwa, utamsaidia? Au ndio utatafuta laki kwa ajili ya mwanao alaf yeye utamwambia pole?

Hii case ikimfikia mhusika atasaidia, this is a very common thing kwa kweli, ila huyu naye kalipa 1.1m, hiyo laki inamshindaje?
 
Hii case ikimfikia mhusika atasaidia, this is a very common thing kwa kweli, ila huyu naye kalipa 1.1m, hiyo laki inamshindaje?
My concern ni kwamba kwann amkasirikie muhasibu hivyo? Maana yule nae kaajiliwa tu. Hana mamlaka ya kuhurumia watu. Alichotakiwa ni kwenda ngazi za juu mf: kwa Mwalim mkuu
 
My concern ni kwamba kwann amkasirikie muhasibu hivyo? Maana yule nae kaajiliwa tu. Hana mamlaka ya kuhurumia watu. Alichotakiwa ni kwenda ngazi za juu mf: kwa Mwalim mkuu

Mhasibu anaweza kuwa na play flani, ila kuna ambao wanakuwa na matatizo na ujinga, laki 1 kwa mtu aliyelipa 1.1m mteja, huna haja ya kurudisha mtoto, ni ujinga.
 
Ongea na viongozi wa juu hapo shuleni kwenu, ila jua hapo hamna karma Wala Nini...walimu wakuu naamini watakusaidia.
 
Mmmhhh...huyu anaomba pesa kisirisiri asaidiwe na Wana jf.

#ChezeaWabongoWewe


Karma is real wapi bana wewe....Acha porojo zako bana...sema unataka laki Moja ukazimue stimu za Pombe ulizokunywa kwenye mialiko

Acha janja janja zako bana wewe....
Toka zako hapa bana!!!! Tapeli mkubwa!!! Fisadi kabisa la kibongo!!!
 
Back
Top Bottom