Shule sio yake, hata yeye yupo kazini. Sometime tunaweza saidia watu wengine, ila kumbe tunajiumiza na sisi. Kuruhusu mtoto wako aendelee, maana yake anaenda kinyume na taratibu za shule.Nianze kwa salam.
Ninamsomesha mtoto wa dada shule moja ya gharama mjini.Day
Ada ni ndefu kwa kweli, term moja 1.2m hali ya maisha si njema kwa wengi wetu ni kujinyima tu watoto wapate kilicho bora. .
Iko hivi.
Shule zinafungwa Juni huko Mhasibu kuvumilia siku 10 nimalizie laki iliyobaki amegoma, 1.1M haoni thaman yake binti kama mie kweli? Karma is real
Pole, hutaelewaShule sio yake, hata yeye yupo kazini. Sometime tunaweza saidia watu wengine, ila kumbe tunajiumiza na sisi. Kuruhusu mtoto wako aendelee, maana yake anaenda kinyume na taratibu za shule.
Ikitokea amekusaidia alaf akafukuzwa, utamsaidia? Au ndio utatafuta laki kwa ajili ya mwanao alaf yeye utamwambia pole?
Kaw ya demand na supply itatutesa sana. Hata huko ambako ada ni Ndgo demandya kuomba nafasi ikiwa kubwa, nitategemea haya huyo bursar Analyse Kaz yake kufumba macho tuKarma hata kama ipo lakini huwa inachelewa sana.
Pia zipo shule ndugu mleta mada ambazo hutoa pia elimu bora lakini ada yake ni robo ya hio unayo lipa hapo.
Pole pia na hongera kwa kujali.
Pole sana..Nianze kwa salam.
Ninamsomesha mtoto wa dada shule moja ya gharama mjini. Day
Ada ni ndefu kwa kweli, term moja 1.2 m hali ya maisha si njema kwa wengi wetu ni kujinyima tu watoto wapate kilicho bora.
Iko hivi: Shule zinafungwa Juni huko Mhasibu kuvumilia siku 10 nimalizie laki iliyobaki amegoma, 1.1M niliyolipa haoni thamani yake binti kama mie kweli? Karma is real.
Kwamba Karma itampata kwavile kazuia mtoto asiendelee na shule,Nianze kwa salam.
Ninamsomesha mtoto wa dada shule moja ya gharama mjini. Day
Ada ni ndefu kwa kweli, term moja 1.2 m hali ya maisha si njema kwa wengi wetu ni kujinyima tu watoto wapate kilicho bora.
Iko hivi: Shule zinafungwa Juni huko Mhasibu kuvumilia siku 10 nimalizie laki iliyobaki amegoma, 1.1M niliyolipa haoni thamani yake binti kama mie kweli? Karma is real.
Waacheni wabakie kayumba maana hamuelewi Chochote hapaKwamba Karma itampata kwavile kazuia mtoto asiendelee na shule,
Bila kua strictly na watu kama nyie ,tutakwamisha mambo mengi sana
Angemruhusu mwanao , means umemuamishia tatizo yeye
Kwa kweli ni fundisho sana. Ila mm nimeichukulia kama roho Mbaya roho nyeusi siPole sana inakuaga hivyo hivyo. Mimi wamemrudisha wangu asubuhi hii kwakua amebeba pesa cash, wao wanatakiwa wachukue Slip tu sio pesa. Nimemuelewa, atalipa baadae kesho watamchukua.
Relax na mshukuru Mungu. Umeikosa hio laki?
Kwa akili tulizojaaliwa nazo, tumshukuru Manani, hapa ni kwa vitendo tu. Hasira zimenijaa mtoto ambaye anafanya kuuliza leo sio sikukuu. Labda ili andelee kula pasaka. Anatokea Mtu anablock, hapa anakomolewa mtoto na mamaake mdg.Pole saana.
Hamna namna hapo zaidi ya kuonana na mwl mkuu au meneja yanazungumzika.
Sent using Jamii Forums mobile app