Ogopa sana watu, lakini karma is real

Karma iko wapi hapo? Hii nchi wajinga wengi sana
 
Kaw ya demand na supply itatutesa sana. Hata huko ambako ada ni Ndgo demandya kuomba nafasi ikiwa kubwa, nitategemea haya huyo bursar Analyse Kaz yake kufumba macho tu
Sijaelewa why umenimention hapa. Nimefumbia macho jambo gani mrembo? πŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈ
 
Muhasibu kampa siku kumi atafute laki moja afu bado anaona kaonewa.
Sasa siku kumi ushindwe kutafuta laki moja afu bado unapambana kumsomesha shule hiyo hiyo manake wewe unalazimisha tu Ila uwezo huna.
 
Ongea na muhusika, Mkuu wa hapo shuleni Head master au head mistress , muhasibu anafata tu maelekezo hiyo karma haiwezi mpata karma inampata Mtu aliyekufanyia ubaya na sio Mtu anayetekeleza Majukumu yake ya Kazi Ili mwisho wa mwezi apokee Malipo yake yanayoitwa mshahara.
 

Hii case ikimfikia mhusika atasaidia, this is a very common thing kwa kweli, ila huyu naye kalipa 1.1m, hiyo laki inamshindaje?
 
Hii case ikimfikia mhusika atasaidia, this is a very common thing kwa kweli, ila huyu naye kalipa 1.1m, hiyo laki inamshindaje?
My concern ni kwamba kwann amkasirikie muhasibu hivyo? Maana yule nae kaajiliwa tu. Hana mamlaka ya kuhurumia watu. Alichotakiwa ni kwenda ngazi za juu mf: kwa Mwalim mkuu
 
My concern ni kwamba kwann amkasirikie muhasibu hivyo? Maana yule nae kaajiliwa tu. Hana mamlaka ya kuhurumia watu. Alichotakiwa ni kwenda ngazi za juu mf: kwa Mwalim mkuu

Mhasibu anaweza kuwa na play flani, ila kuna ambao wanakuwa na matatizo na ujinga, laki 1 kwa mtu aliyelipa 1.1m mteja, huna haja ya kurudisha mtoto, ni ujinga.
 
Ongea na viongozi wa juu hapo shuleni kwenu, ila jua hapo hamna karma Wala Nini...walimu wakuu naamini watakusaidia.
 
Mmmhhh...huyu anaomba pesa kisirisiri asaidiwe na Wana jf.

#ChezeaWabongoWewe


Karma is real wapi bana wewe....Acha porojo zako bana...sema unataka laki Moja ukazimue stimu za Pombe ulizokunywa kwenye mialiko

Acha janja janja zako bana wewe....
Toka zako hapa bana!!!! Tapeli mkubwa!!! Fisadi kabisa la kibongo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…