Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Bora tisiingir mkataba nao maana wsnaweka clauses ambazo nchi itashindwa kudai haki za wananchi wake endapo DPW watadefault.

Tusishangilie Djibout kushindwa bali tuangalie uhalali wa madai yao kwa mustakabali wa raia wao
 
Usiingie nao na tayari wapo bandarini wanafanya kazi?

Unafikiri mkataba wa kibiashara utaoneshwa wewe mburumatare?

Umechelea jamvini karamu imeshaliwa.

Sasa kwanini una wasomi wa sheria serikalini? Au haumfahamu profesa kabudi? Si ndiyo yupo ofisi ya Rais anashughulikia mambo hayo?
 
Shida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu huona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
Warabu ni wafanya biashara since day one ,kama ulivyosema walioko juu pale wengi wapo kidini zaidi na sio kimantiki wanaamini jamaa ni ndugu zao Ila hamna kitu , na Kwa sababu ya dini Yao huwez wambia kitu , shule ni tatizo
 
Inasikitisha sana kuona mpaka robots wanaukataa huu mkataba ulivyo wa hovyo, lakini ajabu viongozi wetu baadhi maprofesa wanajiaibisha kwamba kila kitu kiko sawa, maajabu !
😆😆😆
 
Tumeliwa nduguzangu Faiza anjua mchezo wote
Msukuma la7B alaaaniweee
 
Bora tisiingir mkataba nao maana wsnaweka clauses ambazo nchi itashindwa kudai haki za wananchi wake endapo DPW watadefault.

Tusishangilie Djibout kushindwa bali tuangalie uhalali wa madai yao kwa mustakabali wa raia wao
Wewe si ndiyo ulitaka link ya kesi ya Djibouti? Au ulikuwa unabwabwaja na kuhororoja hovyo tu?

Huwa sikisii.
 
Tumeliwa nduguzangu Faiza anjua mchezo wote
Msukuma la7B alaaaniweee
Umeliwa na TICTS miaka 22 ilikuwa tamu? Hata kuguna ulishindwa, ya w-Waarabu ndiyo chungu?

Agenda mliyonayo tunaifahamu, hayajaanza leo hayo.

Kazi ya Mungu haina makosa.

DP World hoyee.
 
Unaamini akili bandia!!!!!!?
 
Najua majibu haya yatakuchoma maana hayapo upande wako

5.4 inazungumziwa tu phase 1, kwanini haigusii 2 ?, unapoambiwa huu mkataba wa milele jaribu kuwa muelewa kwa uhalisia, usitumie hisia
Akili bandia!!!!
 
Akili bandia!!!!
 
Akili bandia!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…