Hehehehehehe.....dunian Kuna vioja na vionjaNilikuwa nakuona mtu wa maana sasa vp utaamini akili bandia wakati akili zetu original tunazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehehehe.....dunian Kuna vioja na vionjaNilikuwa nakuona mtu wa maana sasa vp utaamini akili bandia wakati akili zetu original tunazo.
Wewe ajuza tembeza papa lako huko kiembe samaki....Safi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?
Kesi nyingi zote Djibouti wameshindwa, moja hiyo:Naomba link yake ili nielimike
Bora tisiingir mkataba nao maana wsnaweka clauses ambazo nchi itashindwa kudai haki za wananchi wake endapo DPW watadefault.Kesi nyingi zote Djibouti wameshindwa, moja hiyo:
![]()
Djibouti Ordered to Pay DP World $530M in Port Dispute
A court in London has awarded global ports operator DP World $385 million in compensation for the go...maritime-executive.com
Biashara siyo mirungi.
Ukitaka na nyingine sema tu.
Usiingie nao na tayari wapo bandarini wanafanya kazi?Bora tisiingir mkataba nao maana wsnaweka clauses ambazo nchi itashindwa kudai haki za wananchi wake endapo DPW watadefault.
Tusishangilie Djibout kushindwa bali tuangalie uhalali wa madai yao kwa mustakabali wa raia wao
Warabu ni wafanya biashara since day one ,kama ulivyosema walioko juu pale wengi wapo kidini zaidi na sio kimantiki wanaamini jamaa ni ndugu zao Ila hamna kitu , na Kwa sababu ya dini Yao huwez wambia kitu , shule ni tatizoShida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu huona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
Too low....Safi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?
Wewe si ndiyo ulitaka link ya kesi ya Djibouti? Au ulikuwa unabwabwaja na kuhororoja hovyo tu?Bora tisiingir mkataba nao maana wsnaweka clauses ambazo nchi itashindwa kudai haki za wananchi wake endapo DPW watadefault.
Tusishangilie Djibout kushindwa bali tuangalie uhalali wa madai yao kwa mustakabali wa raia wao
Umeliwa na TICTS miaka 22 ilikuwa tamu? Hata kuguna ulishindwa, ya w-Waarabu ndiyo chungu?Tumeliwa nduguzangu Faiza anjua mchezo wote
Msukuma la7B alaaaniweee
Unaamini akili bandia!!!!!!?Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Inasikitisha sana kuona mpaka robots wanaukataa huu mkataba ulivyo wa hovyo, lakini ajabu viongozi wetu baadhi maprofesa wanajiaibisha kwamba kila kitu kiko sawa, Aibu tupu!
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu hauna kikomo cha muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo, kwa sasa hao hao DP world wanaweza kuonekana waaminifu lakini hakuna aijuae kesho, wanaweza kuja kutukomoa huko mbele na hatuna cha kuwafanya, hii sio sawa kwa watoto na wajukuu zetu kuja kuumia kwenye jambo ambalo linaweza kurekebishwa ndani ya siku 1 tu bungeni.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo na madudu mengi haifai hata kidogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu, unatamani kurudi hali ya zamani uwe huru lakini ndio hivyo tena huwezi.
Umemaliza mjadala.Safi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tobaaaaah wee,
Tumekwishaaaaa!!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Mtu anaamini akili bandia!!!!!Nilikuwa nakuona mtu wa maana sasa vp utaamini akili bandia wakati akili zetu original tunazo.
Akili bandia!!!!Najua majibu haya yatakuchoma maana hayapo upande wako
5.4 inazungumziwa tu phase 1, kwanini haigusii 2 ?, unapoambiwa huu mkataba wa milele jaribu kuwa muelewa kwa uhalisia, usitumie hisia
Akili bandia!!!!Kilio, kilio, kilio.
Tunataka bandari zetu.
Akili bandia!!!!Faiza Foxy alivyoandika thread yake kuhusu Ikulu wapewe waislamu ni mali yao basi mama yule kwa kuona huku pagumu ikabidi awape bandari.
Baada ya kubinafsishwa bandari tutegemee
1. Kupandishwa kwa kodi kwasababu serikali haina sehemu ya kujipatia fedha na itategemea kodi tu
2. Kuibuka kwa kodi zisizoeleweka, hapa utashangaa hata laini ya simu tutaanza kuilipia
3. Bidhaa kupanda bei kwasababu ya kodi kupanda
Akili bandia!!!!Waarabu ni ukoma.
Siongelei uislam bali Waarabu, ni janga kubwa sana
Akili bandia!!!!Waislamu wakimuona Mwarabu hasa Wazanzibar wanaloa kama wamemuona Mungu.Mwarabu hana mapenzi na Mwafrika ata kidogo,hivi wale Watumwa Blacks waliopelekwa huko Uarabuni kizazi chao kilipotelewa wapi?
Blacks ndiyo wenye nchi ya Egypt,walipotelea wapi?
Blacks tunawaona Europe na USA , why not in Middle East!