Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Akili bandia!!!!Indigenous blacks wa Egypt,Tunisia, Morocco et al walienda wapi? Waarabu ni watu katili sana.
Alafu UAE wanatuhumiwa kufadhili makundi ya kigaidi kama Rapid Support Forces ya Sudan ambalo linapambana na serikali ya Sudan sasa.
Akili bandia!!!Wakisoma kile kitabu wanaona wale ni wenzao kumbe bado wanaonekana nyani.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nae umelala, pesa hizo hizo wanazozichapa wabongo wanakwenda kuziwekeza Dubai. Jisomee:Kwani wabongo wanapiga pesa ngapi kuliko hizo atakazo jilipa Mwarabu
Bora wabongo wapige ela yao izunguke nchini
English anaijua barabara inshu ni kwamba watu wale huwaona waarabu kama miungu kwahyo hujikomba na kujipendekeza kwao kwa gharama yoyote ile.aise.huyu.mama
tatizo English au
kwahyo boro bandari, mbuga, mashamba na fukwe zote tuwagawie "miungu watu yenu Waarabu" ??!Wewe nae umelala, pesa hizo hizo wanazozichapa wabongo wanakwenda kuziwekeza Dubai. Jisomee:
Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi. Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai. Kutokana na mjadala ambao tayari umeshawekwa hapa na kujadiliwa kwa...www.jamiiforums.com
Sasa sijuwi tukimbilie wapi maana kwenye biblia yesu ndiyo katuita mbwa kabisa, jisomee:Wakisoma kile kitabu wanaona wale ni wenzao kumbe bado wanaonekana nyani.😂😂😂
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Inasikitisha sana kuona mpaka robots wanaukataa huu mkataba ulivyo wa hovyo, lakini ajabu viongozi wetu baadhi maprofesa wanajiaibisha kwamba kila kitu kiko sawa, Aibu tupu!
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu hauna kikomo cha muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo, kwa sasa hao hao DP world wanaweza kuonekana waaminifu lakini hakuna aijuae kesho, wanaweza kuja kutukomoa huko mbele na hatuna cha kuwafanya, hii sio sawa kwa watoto na wajukuu zetu kuja kuumia kwenye jambo ambalo linaweza kurekebishwa ndani ya siku 1 tu bungeni.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo na madudu mengi haifai hata kidogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu, unatamani kurudi hali ya zamani uwe huru lakini ndio hivyo tena huwezi.
CCM wajiuzulu kwa kuwatapeli WaTanzania.CCM tunawambia mkataba niwakitapeli niwabishi
English is never a problem to me, if you doubt, lets reason on the matter in English.aise.huyu.mama
tatizo English au
Wanadharau kuliko Yesu alivyotuita mbwa?:kwahyo boro bandari, mbuga, mashamba na fukwe zote tuwagawie "miungu watu yenu Waarabu" ??!
kwanini waislamu mnajipendekeza na kujikomba sana kwa waarabu na kuwaona kama miungu ili hali wao wanawadharau kama kinyesi kibichi.
ndio waliwauza babu zako kama nyanya alafu wewe unajipendekeza kama zuzuWanadharau kuliko Yesu alivyotuita mbwa?:
Mathayo 5
25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Uongo mkuu. Waamini wabunge weyu please.Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Inasikitisha sana kuona mpaka robots wanaukataa huu mkataba ulivyo wa hovyo, lakini ajabu viongozi wetu baadhi maprofesa wanajiaibisha kwamba kila kitu kiko sawa, Aibu tupu!
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu hauna kikomo cha muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo, kwa sasa hao hao DP world wanaweza kuonekana waaminifu lakini hakuna aijuae kesho, wanaweza kuja kutukomoa huko mbele na hatuna cha kuwafanya, hii sio sawa kwa watoto na wajukuu zetu kuja kuumia kwenye jambo ambalo linaweza kurekebishwa ndani ya siku 1 tu bungeni.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo na madudu mengi haifai hata kidogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu, unatamani kurudi hali ya zamani uwe huru lakini ndio hivyo tena huwezi.
Lakini ubaya wa jiwe alikubutua tu ila hakuuza bandari kama huyu mamakoMama ana tatizo kwenye English lkn hamfikii jiwe. Jiwe yeye hakuwa na tatizo bali alikuwa hajui kabisa kiinglish
Chadema wanakata mauno hata baada ya dj kuzima muziki , tumefika hapa tulipo kwasababu ya unyumbu, na jamii mfu ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti inayosikika na bunge ambalo linapitisha sera bila kuwa na ujuzi wa kutambua madhara ya hizo sera hapo baadae. Without the knowledge of the aftermath of the implemented policies the end result will be ineffective policiesCCM wajiuzulu kwa kuwatapeli WaTanzania.
Kuanzia juu waondoke kwa ridhaa Yao.
Majuzi bungeni eti watu wamekula pesa wanapewa barua ya Onyo!! Upuuzi gani huu? Kwa ni watashindwa kuendeleana wizi huo.
Ni ujinga wa Hali ya juu mno.
CDM mko wapi na haya mambo!??
Una makasiriko ya haraka sana.Wewe si ndiyo ulitaka link ya kesi ya Djibouti? Au ulikuwa unabwabwaja na kuhororoja hovyo tu?
Huwa sikisii.
HayabanaUsiingie nao na tayari wapo bandarini wanafanya kazi?
Unafikiri mkataba wa kibiashara utaoneshwa wewe mburumatare?
Umechelea jamvini karamu imeshaliwa.
Sasa kwanini una wasomi wa sheria serikalini? Au haumfahamu profesa kabudi? Si ndiyo yupo ofisi ya Rais anashughulikia mambo hayo?
Kashindwa kuwaongoza Yesu, ntaweza mimi?Una makasiriko ya haraka sana.
Haufai kuwa kiongozi labda uwe mbeba begi la kiongozi. Hekima haiuzwi dukani
Sidhani kama anahusika na hili sakata la kijambazi la DP WorldKashindwa kuwaongoza Yesu, ntaweza mimi?
Kwani wale chawa wakipumbavu, wenye unafiki, njaaa na ubinafsi watakuelewa., watakuona mpotoshaji tu. Kuna watu wanzidiwa akili na mbwa, ambaye ukimwambia wee acha na kweli anaaacha hata kama alikuwa anakula.Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),